mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara
sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.
Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo...
Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika!
Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa).
Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu ..
Hovyohovyo..
Tupeni bili..kodi....
Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!??
Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu.
Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima.
Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu wa CCM nae kaingiamo mule mule
Gwajima anapeleka watu mputa mputa
Sasa hivi na IGP Sirro kaingia...
Shabiki wake nimem miss sana.
Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru
Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
Tangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya.
Mwenyekiti wake anafunguliwa mashtaka ya ugaidi bado yuko kimya. Lakini wakati haya yanaendelea anafungua mashindano ya Aida...
Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa.
Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
Habari Wana jamvi.
Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.
Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii...
Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?
Leo 15:15hrs 14/05/2021
Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
Aliye niblue tick WhatsApp akani mute hadi status, akaweka dislike kwenye bio.
Yuko wapi sasa?
Hakunijibu sms nilivyo mu DM instagram wala nilivyo mu PM kwenye social network zingine.
Yuko wapi sasa? Aliye niblock kwenye simu ili nilimpigia au kutuma sms zisimufikie.
Yuko wapi sasa?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.