Hawa jamaa walikuwa vizuri sana enzi za kundi la Nako2nako. Mfano Ibra nadhani alikuwa anakubalika kuliko hata G Nako.
Ila siki hizi siwasikii kabisa.
Hivi bado wanafanya mziki au waliachana na hii fani?
Huyu jamaa alivuma sana na ngoma alizoshirikiana na ngoma na Marehemu Ngwair kama vile demu wangu na Mitungi.
Kuna muda wakawa na mgogoro ambapo ilisemekana Mchizi mox ndiye aliyeandika wimbo wa mitungi, Ngwair akaupenda akamwachia kwa makubaliano flani ambayo Ngwair hakutimiza.
Ngoma yake...
Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni.
Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu.
Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo...
Salaam Wakuu;
Waziri Mkuu kawa kimya sana miezi ya karibuni, tatizo ni Nini? Hii Hali ni tofauti na mwanzo alikua akitoa ushirikiano na kila wakati tutamsikia kwenye media akieleza mambo kadhaa na kukagua miradi ya serikali, sasa haonekani Tena!
Nini shida?
Kuna kipindi huyu mtayarishaji wa mziki aliwika sana baada ya kutengeneza ngoma kadhaa za Belle 9 kama Masogange, Nilipe Nisepe, n.k.
Hakuishia hapo alitengeneza ngoma kibao zilizowika sana enzi hizo. Mara ghafla sisikii hata ngoma moja toka kwake?
Kwa anayejua hivi bado studio yake ipo...
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.
Pia soma; Spika Job...
Mzuka wanajamvi!
Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi.
Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho...
Habari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake
Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale
Haji yule wa simba aliyehamia...
Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa.
Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
Heri ya mwaka mpya 2022.
Tunashukuru Mungu kufika na hata kuweza kuinuka na kutembea.
Kwenye mada.
Inaweza pita mwaka wa tano au zaidi sijamsikia huyu kiumbe au mnyama wa ajabu sijui yuko kwenye kundi gani la wanyama.
Kiumbe huyu KAKAKUONA mara nyingi kwenye misimu ya hali ya hewa yenye...
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.
Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
A.k.a
Field marshal,
Sauti ya umeme,
Toka NYC beibi.
Mzee wa Noah
Mzee wa mabebez.
Huyu puto aliwai kuwachangisha matajiri wa dar wote(anavyodai)ili akaoe.
Mpk leo kimyaaa.
Alikua mwenzetu hapa,siku hizi kajikata mazima.
Hana bando au?
Huko aliko mwambieni anahitajika hapa A.S.A.P.
Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia.
Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine?
Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.