He passed away kama sijakosea 2021Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Ni marehemu kitambo snNamuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Umemfananisha na Dalali gavana wa bank kuu yule ndiye alifia MarekanaiAlizikwa marekani bila shaka
Ni Balozi Korea kazkaziniNamuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Muwambie na kina Makala wawe na adabu walikuwepo Viongozi wenzao wako wapi?Ni Balozi Korea kazkazini
Kweli,nimekumbukaUmemfananisha na Dalali gavana wa bank kuu yule ndiye alifia Marekanai
Alishatangulia mbele za hakiNamuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Unajua watoto/Family kaachia utajiri wa TZS?????Kweli Dunia ni uwanja wa fujo,wewe piga sarakasi zako ipo siku utaicha,hakuna kilichomsaidia lakini mpaka leo aliyowakebehi watakula nyasi bado wanadunda
Kama babaako?Hayuko kuzimu kweli yule jamaa ? 😲