GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,208
- 7,049
Sahihi kabisa, maana sina hakika na maisha ya baada ya kifo ila baba yangu aliisha lala pia. 🤔Kama babaako?
Sahihi kabisa, maana sina hakika na maisha ya baada ya kifo ila baba yangu aliisha lala pia. 🤔Kama babaako?
Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Hamna tatizo wazee wenzake aliowacha wanakula nyasi mpaka leo wanadunda, hizo U.S.D zake zilishindwa kumsaidia asifeUnajua watoto/Family kaachia utajiri wa TZS?????
Unajua kaacha US $???
Watoto/Family yake ni Matajiri hata wakilala Full time.
Pole kwa majukumu ya huko Kongo, karibu nyumbani.Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Kwani kufa ni adhabu????Hamna tatizo wazee wenzake aliowacha wanakula nyasi mpaka leo wanadunda, hizo U.S.D zake zilishindwa kumsaidia asife
Sgr ya maana,nateleza na reli mpaka mengele ya kuingia homeHe's no more.
Rest Easy Brazil,
Ulituwekea reli tokea marangu mtoni hadi rombo
💀💀☠️Mramba alifariki wakati wa covid. Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko.
Ni marehemuNamuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula