Nashukuru nimefika salama Dodoma nikitokea Iringa ambapo nilipata penzi motomoto, nimeamua kufikia Lodge moja hivi pande za Kisasa, hii ni kutokana na kuwa na miadi na demu wangu wa Facebook ambaye tulianza kuwasiliana kitambo sana, kwa taaluma ni mwalimu, saa 8 juu ya alama nimempitia kazini...