Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu
👇
Hili jina kwangu sio geni na Leo nimejikuta nalitamka wakati napumzika kwenye mti.
Iko Hivi nimetoka shambani kuvuna alizeti Sasa wakati natua mzigo nikavuta pumzi nikawa naitoa taratibu na kusema " Ndesambulo"
Sasa naomba wanabodi mnijuze huyu alikuwa au ni nani na yupo wapi anafanya nini...
Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia.
Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai...
Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake.
Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana.
Huu usemi wa hujafa...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee
Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake.
Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali.
Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji...
Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi media
===
Updates.
Melo: Nchi nyingi zinatamani kuwa na JamiiForums na tunaenda kufungua...
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.
Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.
1. Hajabarehe? Hajakua?
2. Anahati miliki na hii nchi?
Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja...
Mwaka huu kenya moto utawaka moto kati ya wapinzan wawil wakubwa Luto na Odinga huku Odinga akiungwa mkono na Rais aliepo madarakani.
Kinachonogesha siasa za safar hii ni kitendo cha rais na makamu wake kutofautiana hadharan na kila mtu kuamua kufata njia yake
Najua mlimpo kenya mna wakat mgum...
Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa kula matunda na asali ambayo hawanunui. Hivyo ukiweka kifedha inawezekana wanatumia gharama kubwa...
Hawa jamaa walikuwa vizuri sana enzi za kundi la Nako2nako. Mfano Ibra nadhani alikuwa anakubalika kuliko hata G Nako.
Ila siki hizi siwasikii kabisa.
Hivi bado wanafanya mziki au waliachana na hii fani?
Huyu jamaa alivuma sana na ngoma alizoshirikiana na ngoma na Marehemu Ngwair kama vile demu wangu na Mitungi.
Kuna muda wakawa na mgogoro ambapo ilisemekana Mchizi mox ndiye aliyeandika wimbo wa mitungi, Ngwair akaupenda akamwachia kwa makubaliano flani ambayo Ngwair hakutimiza.
Ngoma yake...
Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi.
Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni.
Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu.
Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani.
Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.