Cannon ambaye ana Watoto mapacha aliozaa na #MariaCarey huku wengine wakiwa na mama tofauti amesema hana uhakika kama anahitaji mtoto mwingine lakini kama itatokea, basi mama wa mtoto anatakiwa kuwa mzuri na wa kuvutia sana.
Mtangazaji wa kipindi cha 'The Howard Stern' kinachorushwa na SiriusXM...
Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli.
Hapa kaja tu Nusu Msimu tayari anatupia kiasi hiki je, vipi kama nae angeanza mwanzoni wakati Msimu wa Ligi...
Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu.
Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi.
Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani...
Kama sijakosea ID yake , ila Huyu Bidada sijui alibadili ID, Sijui ilikuaje!..Mara ya mwisho kuona ID yake ni 2017
Kipindi najiunga JF niliwahi mshobokea PM, ni Mdada Mzuri, wa Umbo na Sura , Mpole pole with sweet language , Nahisi wa Kishua hivi .
Wee Bidada kama upo Hai tusalimiane ...
Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze.
Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe.
Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China ambako pamoja na mengineyo analenga kulishawishi taifa hilo mshirika wa Urusi, kusaidia juhudi za kuleta amani katika mzozo wa Ukraine.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aidha anataraji kuirai China kuacha...
Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar.
Kazi kwenu
-----
Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
Bila kujali kama anajua au hajui, katika ufalme wa Mungu hakuna Malkia au princess.
Kuna mfalme wa wafalme = Yesu
na wafalme= Sisi wafuasi wake bila kujali jinsia.
Ufunuo wa Yohana 5:10
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
Wasalaam JF,
Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
Kipunje: Mwamuzi anayechezesha mechi akiwa na panga, shoka Dar
Refa Kipunje akiwa kazini
Summary
Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa akipangwa kuchezesha. Sahau hilo la Webb. Tanzania kuna mtu mmoja anaitwa Kipunje.
UKIMUULIZA shabiki yeyote wa soka...
Habari wanajukwaa.
👤 Waajiriwa ndo maana wanabaki kuwa watumwa wa siku zote maana hata mungu anaona kinachoendelea.
Unakuta mfanyakazi anavimba kama yeye ndo boss.
👤 Jeuri, kiburi majivuno daah balaa tupu,uchawa mwingi sema yote ni njaa na kuwa na akili finyu. Any way point ni kwamba...
Hakika huyu alikuwa CEO wa shoka. Enzi zake Simba kulikuwa na vibe sana na mafanikio tele. CEO wa sasa hata jina lake halijulikani.
Watu kama Gentamycine and Co wamemwandama dada wa watu mpaka akaamua kubwaga many anga. Sasa waje watueleze wamefaidika nini kwa Barbara kuondoka Simba?
Wasalaam,
Nimetokea ghafla kumkumbuka sana huyu komredi wangu wa ukweli mzee wa "Piga Tuu"
Huyu ndugu yangu baada tu ya kuisha kwa uchaguzi na awamu hii ya tano kuingia madarakani tumekuwa hatumsikii kabisa.
Mawaziri wakuu wastaafu wengine kama Mzee Malecela, Mzee Warioba, Mzee Msuya na Mzee...
Bila shaka wengi mnamkumbuka vizuri huyu Mheshimiwa, mimi namkumbuka zaidi kwa uchapakazi wake akiwa Naibu Waziri Tamisemi awamu ya 4, alionekana kuwa mtendaji mzuri na alivutia kwa uwezo wake wa kujieleza, kujenga hoja na kujibu maswali Bungeni.
Nilitarajia makubwa kwake kisiasa hata siku...
Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.Akiwa kwenye gari ya wazi akiwaoungia mkono maekfu kwa maelfu WanaDares salaam waliouja kumlaki,akiwa na Winnie Mandela na...
Ripoti ya Prof Mruma kuhusu Makinikia na kampuni ya Accacia, ilikuja na jibu kuwa "Accacia ni kampuni feki".
NANUKUU ( It is confirmed that Accacia Mining is Non-Existing entity in Tanzania)
SOMA PIA:
Pamoja na mambo mengine, katika matokeo ya uchunguzi wake, kamati ilibaini kuwa Kampuni ya...
Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone
Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya.
Dkt. Slaa...
Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu?
Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.