Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.
Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi...
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa.
---
Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s.
2. ALI HASSAN MWINYI.
Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la mabadiliko ya vyama vingi.
3. BENJAMIN WILLIUM MKAPA.
Mauwaji ya mwembe chai almanusura vita ya...
Habarini za usiku wependwa
Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi.
Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha.
Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea wana mpaka dating sites zinazowaunganisha wenza.
Kijana wetu anatafuta mwenza ama mke kwa njia...
Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa.
Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
Wakuu kumekua na sintofahamu nyingi juu ya sakata la madai ya wanakijiji kudai kutapeliwa ardhi yao na muwekezaji Mbunge wa kisesa Luaga Mpina kuhusu ardhi yenye Ukubwa wa ekari 1000.
Mengi yanazungumzwa na mwisho lililoongeza mjadala ni kuwa Waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba ndiye Yuko nyuma...
Hebu tutupie hapa mchango wake kwenye siasa na maendeleo ya nchi yetu!
Kikubwa ninachokikumbuka ni uthubutu wake wa kusimamia uletaji wa maji Dodoma toka ziwa victoria. Haikuwa rahisi!! Ilibidi kuvunja mikataba ya kimataifa iliyokuwa inazuia kuvuta maji toka ziwa victoria! Uthubutu wake...
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.
Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia...
Huyu Mtumishi wa Mungu aliekuwa akihudumu zaidi katika uimbaji nyimbo za injili ...alikuwa akisikika sana siku za nyuma na nyimbo zake zilikuwa na mafundisho mengi sana sio tu kwa watu walimpokea Bwana Yesu ila na wale ambao bado hawajampokea.
NYIMBO ZAKE:
Na nyimbo nyingine nyingi...
Salam!
Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake.
Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana.
Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%.
RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini?
Kila siku kuna mauaji Geita.
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia.
Oscar Oscar ameondoka EFM, Amejiunga na Wasafi kwa signing fee ya shilingi milioni 100. Mshahara wake kwa mwezi ni shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.