Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Wakuu wa humu heshima yenu!

Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.

So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.

Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia

Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.

Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
 
Wakuu wa humu heshima yenu!

Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.

So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka,tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.

mkeo ana leseni ya bot ya kuendesha taasisi ya huduma za kifedha? kama hana kafanya vizuri kuiepusha familia na tuhuma za utakatishaji wa fedha.
 
Una miaka mingapi?

Kaka huyo ni mkeo au ni mchumba?

Mke kama anakipato haombwi pesa. Anapewa maagizo ya kutekeleza,

Akikataa huyo sio mke. Huyo anakua kama demu wako tu usie na mamlaka nae.

Kama ndio mkeo, tafakari sana. Tafakari kwa sababu kaonesha ubinafsi na sio yupo na jamaa zake wana enjoy life.

Tambua pia kuna wenzako wanakusaidia.
 
Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....

Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......

Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....

Angalia cycle ya marafiki zako......
 
Wakuu wa humu heshima yenu!

Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.

So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka,tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.

Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia

Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.

Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Huyo siyo mke yule uliyeapa kuwa utavumiliana naye kwenye shida na raha.

Anza kuishi naye kwa akili, jali mambo yako binafsi na acha kujishughulisha na mambo yake.

Huyo ukimchunguza kwa kina utagundua wewe siyo Mume wake pekee bali mko wengi
 
Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....

Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......

Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....

Angalia cycle ya marafiki zako......
Thread ifungwe [emoji3059]
 
Una miaka mingapi?

Kaka huyo ni mkeo au ni mchumba?

Mke kama anakipato haombwi pesa. Anapewa maagizo ya kutekeleza,

Akikataa huyo sio mke. Huyo anakua kama demu wako tu usie na mamlaka nae.

Kama ndio mkeo, tafakari sana. Tafakari kwa sababu kaonesha ubinafsi na sio yupo na jamaa zake wana enjoy life.

Tambua pia kuna wenzako wanakusaidia.
Hela zake
 
Back
Top Bottom