Tukiwaambia mwanamke ni chombo cha starehw mnatuona sie makatili. Haya nyie wachekeeni tuu.Wakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Hao ni kwenda nao kitaliban.
Huyo wee muache kabisa yaanikale mbususu zingine usisumbuke nae tena