Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Wanamsemo wao wanasema mwanaume inatakiwa uwe na muscurality,sijui nipo sawa
Sasa kuna haja gani ya mwanamke kufanya kazi kama kipato chake hakisaidii familia.Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....
Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......
Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....
Angalia cycle ya marafiki zako......
Pole sana mkuu mkeo ni mbinafsi au na wewe huwa unamnyima pesa za mahitaji yake ndiyo maana kaamua kulipizaWakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Ndoa za jinsia 1 kivipi?Sasa tufanyeje? NDOA ZA JINSIA MOJA ZIPIGWE VITA.
Perfect,
Mke anafanya kazi na kuingiza kipato then mtu anahangaika mitaani wakati mwenzake anaweza kumsaidia?
Ila nina wasiwasi jamaa sio mrudishaji, akikopa kwa mama either harudishi au anachelewa kurudisha. Wake zetu ukienda nao sawa hawana shida.
Hawa wanawake wawili wameoanaNdoa za jinsia 1 kivipi?
Labda pengine hujanielewa......Sasa kuna haja gani ya mwanamke kufanya kazi kama kipato chake hakisaidii familia.
Mimi ni mwanamke lakini siwezi kuacha kumpa mwenzangu hela kama ana shida.
Unless kama huyo mume naye ni mbinafsi.
nadhan ulioa kabla ya muda wako kufika (uliwahi sana)Wakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Tafuta asiyena kazi umlishe wewe pesa hazitakuishia mfukoni, amini kabisa lkn Hawa wenye kazi mtakoma na akili zenu, eti pesa imeniishia nimkope wife sio umkope akupe for free kabisa hapo ndo ujuwe huyu tuko pamoja, anyway sisi wake zetu ni wa nyumbani na pesa haiishi mfukoni, na ikiisha anachukua mabaki yanayobaki kwenye matumizi unapewa Mume.Wakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Apewe taarifa ya nini na mke ana pesa yake? Alafu zingatia mke atakuwa mkoa mwingine Mme mkoa mwingine.Huo mtoko wa coco ulikuwa na taarifa nao?
Na je ikitokea mme ameumwa kwa muda mrefu na hana nguvu za kwenda kazini ni nani anayetakiwa kuiokoa familia?Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....
Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......
Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....
Angalia cycle ya marafiki zako......
Mbona kamaa huu uzi ni wa kutunga?Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
HIyo imeendaNimempatia mke mtaji wa biashara ila nashangaa kila siku anaita mtaji wangu ni pesa zake, Nahisi hii imeenda....
Wanaume Dhaifu aliowasema Jana Robert HerielUna miaka mingapi?
Kaka huyo ni mkeo au ni mchumba?
Mke kama anakipato haombwi pesa. Anapewa maagizo ya kutekeleza,
Akikataa huyo sio mke. Huyo anakua kama demu wako tu usie na mamlaka nae.
Kama ndio mkeo, tafakari sana. Tafakari kwa sababu kaonesha ubinafsi na sio yupo na jamaa zake wana enjoy life.
Tambua pia kuna wenzako wanakusaidia.
YA maziwa au ya rangi?Hii ni chai.