Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Apewe taarifa ya nini na mke ana pesa yake? Alafu zingatia mke atakuwa mkoa mwingine Mme mkoa mwingine.
Mkuu lazima mwanamke aombe ruhusa kutoka kwa mumewe siyo kutembea hovyo kama chokoraa. Mwanamke anatakiwa akitoka kwenye shughuli zake arudi Nyumbani na asitoke bila kuruhusiwa na Mumewe.
 
Kujenga kwao na kusaidia ndugu zake.
Kwa hiyo kwangu yeye ana kazi gani! Ikiwa anataka kujenga kwao na kusaidia ndugu zake aende akaishi huko atoke kwangu maana hana faida yoyote kwa familia yangu.
 
Eti huyu nae ni mume wa mtu, aisee!
Mkuu emb temea mate chini ili yasikukute.

Kuna kaka alikuwa na maneno ya shobo kabila hiyo, lakini kuna siku isiyo na jina nikamfuma akifulishwa rundo la nguo, akabakia kuchekacheka tu kwa kujibaraguza!

Hayanaga formula hayo, hata wewe lazima kuna kaudhaifu kako tu, labda uwe timu kataa ndoa.

Hata uwe mkamilifu namna gani, lakini kama upo kwenye mahusiano, waweza kuigiziwa, ukatekeleza jambo usilotakiwa kufanya na baadaye ukabakia kujiuliza na usifanye lolote.
 
Mkuu una uhakika kama wewe ndiye mme wa mke huyo? Kuna namna mtu akiwasilisha tatizo lako unagundua tatizo ni yeye mwenyewe.
 
Na je ikitokea mme ameumwa kwa muda mrefu na hana nguvu za kwenda kazini ni nani anayetakiwa kuiokoa familia?
Ikiwa wewe ni mwanamume unayejitambua na kutimiza wajibu wako kwenye familia yako bila shuruti juhudi zako zitaonekana na zitathaminiwa.......

Mwanamke aliyeridhia kuishi na wewe na anajua namna gani unajitoa na kupambana kutimiza majukumu yako kama baba wa familia hawezi kukuacha uumbuke kwenye nyakati ngumu hali ya kuwa uwezo wa kuchangia anao......

Kuna baadhi ya wanaume wenzetu wakipata mwanamke anayefanya kazi basi ndio wanasahau kabisa majukumu yao kwa wake zao.......anakuwa mtu wa pombe na wanawake huku mama akibeba mzigo mzito wa jukumu la familia

Katika mazingira kama hayo ni ngumu kusaidiwa au kufadhirika kwani hujaacha kumbu kumbu yoyote ya upendo kwenye moyo wa mkeo zaidi ya maudhi na manyanyaso.....
 
Wakuu wa humu heshima yenu!

Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.

So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.

Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia

Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.

Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
we ni mume tegemezi wa wife??
 
Mweee yaani mke yupo ana hela ndani alafu nikakope kwa marafiki....mwee sasa sii bora ukae na single ujus unakopa kwa marafiki tuu
yes, ukikopa kwa friends (signicant others) utakuwa responsible
 
Back
Top Bottom