Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Lakini mkuu, kwa mume mtu wake wa karibu ni mkewe, vivyo hivyo kwa mke.Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....
Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......
Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....
Angalia cycle ya marafiki zako......
Anayetakiwa kuwa wa kwanza kuonwa ili kutatua changamoto ya mwandani wake ni mmoja wao, labda pale tu anapokuwa hana uwezo wa kufanya hivyo ndo unatakiwa kukimbilia kwa marafiki.