Hahaha usinikumbushe...
Ndyo zao wabinafsi sana kuna mwenzao huku namchora tu namsubiri siku moJaWakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
pole sanaNilienda chuo kuongeza elimu, Karibu na mitihani nikakwama Ada nikamuonba mwenzangu aniongezee, akakataa katakata. Baada ya kumaliza mitihani nikamtembelea mwenzangu kuangalia simu yake the same day ananikatalia kuniazima Ada ndio siku aliyomuuliza kidume mwenzangu unakula nini, the next step ni kuachana mpaka Leo tunalea mtoto na ndoa Hana.
Shikamoo....mmebaki wachache mnoo wanaume wa kujielewa hiv..ukiona hivyo ujue kuna mambo hayapo sawa.
Wap hujaelewa nkueleweshe?Aingie kwenye nini achukue nini???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hiiiiiiiiiii mzaha huu.
Mwee....wee kama ni mlipaji ni mlipaji tuu haijalishi umekopa kwa naniyes, ukikopa kwa friends (signicant others) utakuwa responsible
..hela za wife, mwachie ni zake, unaweza pewa hela alizohongwa na mchepuko, I.e wote mnakuwa mumehongwa.yes, ukikopa kwa friends (signicant others) utakuwa responsible
Hata mimi ndivyo ninavyoelewa ila si Hawa wenye mishahara Yao, waume zao nimikataba Yao ya kazini wewe hapo anapata mtarimbo tu basi na si vinginevyo, jiulize nimeishiwa nikope kwa mke? Zile sweetie Hela hii hapa kama una shida katatue ziko wapi? Mke mwenye pesa wewe ni Mme wa pili Mme wake wa kwanza ni kazi yake na mkataba wake, hiyo taka usitake habar Iko hivyo, wanaume oeni wanawake wasio na kazi muwahudumie, hivi Mwanamke anapigwa na jua kutafta pesa kama mwanamme atakuthamini kweli? Thubutu. We subir utayaona kama unabisha.Mkuu lazima mwanamke aombe ruhusa kutoka kwa mumewe siyo kutembea hovyo kama chokoraa. Mwanamke anatakiwa akitoka kwenye shughuli zake arudi Nyumbani na asitoke bila kuruhusiwa na Mumewe.
Mkuu maelezo yako unayoyatoa na post ya mtoa mada wala haviendani.Ikiwa wewe ni mwanamume unayejitambua na kutimiza wajibu wako kwenye familia yako bila shuruti juhudi zako zitaonekana na zitathaminiwa.......
Mwanamke aliyeridhia kuishi na wewe na anajua namna gani unajitoa na kupambana kutimiza majukumu yako kama baba wa familia hawezi kukuacha uumbuke kwenye nyakati ngumu hali ya kuwa uwezo wa kuchangia anao......
Kuna baadhi ya wanaume wenzetu wakipata mwanamke anayefanya kazi basi ndio wanasahau kabisa majukumu yao kwa wake zao.......anakuwa mtu wa pombe na wanawake huku mama akibeba mzigo mzito wa jukumu la familia
Katika mazingira kama hayo ni ngumu kusaidiwa au kufadhirika kwani hujaacha kumbu kumbu yoyote ya upendo kwenye moyo wa mkeo zaidi ya maudhi na manyanyaso.....
Nimekuelewa na nimemuelewa mtoa mada......Mkuu maelezo yako unayoyatoa na post ya mtoa mada wala haviendani.
Yaani ni maelezo yako ni kama unamuhubiria mwanaume ambaye ni mlevi mlevi ambaye haijali familia kwa lolote kuanzia pesa ya chakula hatoi,pesa ya ada halipi,kodi ya nyumba halipi,anakesha baa na malaya hapo sawa.
Lakini mtoa mada ameongelea kuazima hela kwa mkewe kisha mkewe amekataa kisha akamuona yuko na marafiki zake wanaenjoy.
Sasa iko hivi kama mkeo hujamzoesha kuokoa jahazi mara moja kwenye familia wakati ukikwama basi jua ya kwamba siku ukiachishwa kazi au ukiugua ugonjwa wa muda mrefu sahau kabisa kwamba atakuja kukusaidia tena ndio atakuwa wa kwanza kukukimbia na kukuacha peke yako.
Jitahidi mkeo hata kama ni jobless uwe unampatia majukumu mara moja moja kwa kutumia vimradi vyake vidogo vidogo vya nyumbani yaani hata kama hela uko nazo mara moja moja muigizie ujifanye kama hauna pesa ili kupima tu juhudi zake.
Si wanasemaga kwamba mkioana mnakuwa mwili mmoja?sasa kwa nini chake kiwe chake lakini cha mmewe ni chao wote huoni hapo kuna kautapeli fulani?Nimekuelewa na nimemuelewa mtoa mada......
Mantiki ya andiko langu ni kuwa mwanaume hupaswi kulalamika pale ambapo mkeo amekataa kukupa pesa yake......yeye mpaka kuja huku kulalamika maana yake amejipa haki kwenye hela ya mkewe mpaka alivyo mnyima akashangaa.....
OVERNimempatia mke mtaji wa biashara ila nashangaa kila siku anaita mtaji wangu ni pesa zake, Nahisi hii imeenda....
Mwili mmoja kwenye masuala ya chumbani lakini kwenye majukumu ya kumtunza na kumhudumia ni wewe mwanaume.....Si wanasemaga kwamba mkioana mnakuwa mwili mmoja?sasa kwa nini chake kiwe chake lakini cha mmewe ni chao wote huoni hapo kuna kautapeli fulani?
Hatari sana JaddaNilienda chuo kuongeza elimu, Karibu na mitihani nikakwama Ada nikamuonba mwenzangu aniongezee, akakataa katakata. Baada ya kumaliza mitihani nikamtembelea mwenzangu kuangalia simu yake the same day ananikatalia kuniazima Ada ndio siku aliyomuuliza kidume mwenzangu unakula nini, the next step ni kuachana mpaka Leo tunalea mtoto na ndoa Hana.