Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Mke hujui yuko wapi mpaka unaangalia status yake?
Hivi kweli mke huyo ama
Mke akitoka hakuagi anaenda wapi?
Una kopa hela kwa mke
Hii kali, huyo naweza sema sio mke bali mnaishi tu pamoja.
Umeona uandike tu MKE
Hao wanasindikizana hawajaoana
 
Daaah! Mwenetu ameshikika, pole sana mdau ila kelele ulio ipiga hapa ni kubwa mno.. hii volume haifai inafanya watu waanze kuwavua nguo wewe na familia yako. Next time angalia nini vya kupost kama kweli una familia zipo issue za kifamilia unaweza leta hapa ukapata mawazo na ufumbuzi.

Wassalaam.
 
Mwanaume kama kichwa cha familia ndio kiongozi wa suala la kiuchumi ndani ya familia ...kipato anachoingiza mwanamke wako inatakiwa ukijue na pia aweke sehemu ya kipato chake katika fungu la familia...
Sasa ww nashangaa kama card za benk za mwanamke unajua password si ni kuchukua hela tu na ww kumpa taarifa baadae kwamba ulichukua kiasi flani kwa ajili ya jambo flani..
Kama upo mbali ulipaswa upige simu moja tu kwamba unahitaji kiasi flani cha fedha....
Chifu jitengenezee mfumo wa kujiwekea akiba kwenye account moja ww na wife wako....
 
Wakuu wa humu heshima yenu!

Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.

So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.

Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia

Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.

Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Anahisi akikupa nawewe unaenda kuchukua mshangazi tabia zako umezisahau
 
Mke mbinafsi/mchoyo japo jukumu la kulea familia ni la mwanaume ila jamani dharura kama hizi angekuazima tuu kwa nionavyo hii sio sahihi. Mimi nina kazi na mshahara ila baba wawili wa watu hela nilizomkopa kwa kisingizio kuwa nitarudisha na sijawahi kurudisha nikifikiria hadi aibu.
 
Wangu nikimwambia nikopeshe huwa anajua tu ndio Kizinga chenyewe, anatoaga kwa moyo tu
 
Inaonekana hulipi hayo madeni hata mimi siwezi kukukopesha.
 
Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....

Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......

Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....

Angalia cycle ya marafiki zako......
Uwekewe siti yako peponi.
Wanaume wote wangekuwa kama hivi wallah ndoa zingekuwa Tamu Sana.
 
Wakuu wa humu heshima yenu!

Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.

So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.

Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia

Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.

Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Pesa unanyimwa, kapime watoto DNA.
 
Mwanaume kama kichwa cha familia ndio kiongozi wa suala la kiuchumi ndani ya familia ...kipato anachoingiza mwanamke wako inatakiwa ukijue na pia aweke sehemu ya kipato chake katika fungu la familia...
Sasa ww nashangaa kama card za benk za mwanamke unajua password si ni kuchukua hela tu na ww kumpa taarifa baadae kwamba ulichukua kiasi flani kwa ajili ya jambo flani..
Kama upo mbali ulipaswa upige simu moja tu kwamba unahitaji kiasi flani cha fedha....
Chifu jitengenezee mfumo wa kujiwekea akiba kwenye account moja ww na wife wako....
Aingie kwenye nini achukue nini???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hiiiiiiiiiii mzaha huu.
 
Sasa huyo si ni mkewe! Muulize akwambie sababu yakunyimwa pesa na mkewe kuna mmojà alikuja na kesi hapa akaulizwa kisa, eti Mwanzo tulikuwa tunaweka wote mezani lakini alipojua nimezaa nje na mwanamke mwingine sijawahi ona hata mia, sasa ona mwanamke gani mjinga atafanya ujinga huo!
Sasa mbona na nyinyi Wanawake mnapenda watoto zenu wa Wanaume wa nje walelewe na Waume zenu na mnamsemo wenu ukipenda bora penda na ua lake.
 
Hapo Hesabu mke huna boss.. anza plan B kabla hujachelewa
 
Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....

Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......

Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....

Angalia cycle ya marafiki zako......
Wanaoa hawana hata mia eti ndoa ni baraka lazima utoboe tu🥴
 
Back
Top Bottom