Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.
Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au...