yupo wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maisha ya msanii wa kikongo "Lady Isa" yupo wapi na anafanya nini kwa sasa

    Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi. Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi...
  2. Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
  3. Mwana JF Chige yupo wapi siku hizi?? More than a year now

    MALCOM LUMUMBA eti Chige yupo wapi siku hizi??
  4. Yupo wapi Refa wa Yanga Ramadhani Kayoko?

    Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
  5. Nape kapotelea wapi?

    Mwamba kapotelea wapi? Madaraka haya aisee kama nguo ya kuazima
  6. Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo wapi? Kimya chake kinatupa taharuki

    Sugu simama uhesabiwe. Huu ukimya wako maana yake ni? Wewe umesaliti Mwenyekiti? Hata wewe? Au umeamua kutumia busara? Muda ni wakati mzuri. Ni wakati wa kusimama kuhesabiwa. Tunaona watu ambavyo wanamkataa mwenyekiti. Tena inashangaza watu wa CDM ndo leo hii wanampinga Mwamba. Yeye Sugu...
  7. DED Emanuel Franci Namaumbo yupo wapi?

    Huyu ni DED wa ajabu kuwahi kutokea Hutembea na kuku na bata wake hata akipata uhamisho. mbaya zaidi anatumia muda mwingi kuongea kuliko kutenda. Mara anakwenda na mafailli nyumban nk. Mara ya mwisho nilikutana naye halmashauri moja iringa hko.. Yupo wapi huyu mwamba/ a typical CCM and...
  8. Ivanka Trump yupo wapi au mzee Trump ashambwaga?

    Huyu mke wa Trump mbona simwoni. Sana kwenye media siku hizi. Kipindi Trump yupo Rais walikuwa wanapendeza mno wakiwa kwenye lile dege wakitembelea nchi kadhaa. Lkn Simeon tena yule mama mzuri sijui kamkorofsha nn mzee bepari. Tumwombe Trump asimsahau kwenye teuzi.
  9. Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

    Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
  10. Welfare check: Yupo wapi member ephen?

    Last time huyu member alikua anasema ana changamoto za kiafya, tumezoea hua anakua active sana ila sa ivi naona kama account yake inakua dormant... Huyu member Yuko wapi Analyse
  11. Jamaa kimya sana toka Aoe, yupo wapi?

    Ben!
  12. Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

    Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi? Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
  13. Yupo wapi TOM CRUZ?

    Katika wachambuzi ambao nilikuwa nao bega kwa bega ni TOM CRUZ, Huyu jamaa alikuwa yupo vyema sana kwenye habari mpya za kimichezo na burudani. Ila jamaa yupo kimya sana ., 5sep ndio ilikuwa post yake ya mwisho. Sijui amekufa au kapatwa na nini. Mwenye kufahamu anijuze pls
  14. Nimem-miss Faiza haider, mdada aliekuwa presenter wa EATV kipindi cha 5 selekt

    Habarini, Huyu mdada alikuwa ana present 5 selekt na tbway 360, miaka ya 2011, huyu mdada alikuwa na muonekano mzuri kweli, na alikuwa ni tv crush wangu kwa kipindi kile 😍🫢😅she was veeery beautiful, Yani alivyo muonekano wake k.v pisi ya New York USA, kumbe alizaliwa na kukulia dar Damn time...
  15. Yupo wapi mtangazaji Gerald Hando

    Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
  16. Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja

    Deusdedith Soka Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili. Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
  17. Watu wa Arusha namuulizia shabiki yule kichaa mbabe yupo wapi?

    Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
  18. Makonda yupo wapi mbona kimya kingi

    Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
  19. R

    Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

    Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
  20. Yupo wapi Deogratias Kisandu

    Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…