Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination.
Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars.
Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?
Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii...
Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere.
Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA.
Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini.
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama .Imepelekea Kugomea mikutano ya chadema inayoendelea nchini ya kudai Katiba mpya na kupinga...
Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko.
Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni.
Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
Siyo kawaida yake kuwa kimya namna hiyo hasa kwenye nyakati za SINTOFAHAMU kubwa nchini kama wakati huu wa suala la BANDARI.
Lakini, mzee Makamba ni kiongozi mstaafu ni wajibu wa Wananchi kufahamu alipo na anaendeleaje.
Wengi wetu tulitarajia waandishi wa habari kama ilivyo ada wangeshamfuata...
Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu.
Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni Bora angebakia msemaji wa Yanga kipaji CHAKE kingekua na asingalipotea kirahisi hivi.
Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk.
Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa.
Yupo wapi?
Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.
Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.
Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan.
Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
Umofia kwenu.
Wakuu, hivi yupo wapi Askofu Mkuu Zakaria Kakobe?
Hajaonekana Kanisani wala hakuna taarifa yoyote kumhusu kama yupo nje ya nchi tangu Desemba mwaka jana.
Tetesi ni nyingi sana kumhusu.
Soma pia - Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2
Nimemkumbuka mwamba mmoja na mwana JF mwenzetu, Kitoabu aliyetuburusisha kwa stori zake za Mikasa aliyokutananayo katika uchimbaji madini nchini Mozambique.
Yeyote Mwenye taarifa zake tafadhali atujuze kama au kama Ni yeye mwenyewe atujuze Kama Yupo na sisi. Ukimya wake wa muda mrefu Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.