yupo wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkweche II

    Msanii Hammer Q yupo wapi siku hizi?

    Kwema wakuu? Naulizi msanii hapo juu yupo wapi siku hizi maana sijamsikia kitambo? Mwenye taarifa zake aweke hapa.
  2. Orketeemi

    Yupo wapi Edward Lowassa?

    Waku heri ya mwaka mpya. Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa. Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli. Mwenye taarifa kuhusu hali ya jabali hili aniambie, yupo wapi na hali yake kiafya kiujumla ikoje? Ni Kwa Nia njema Tu, maana...
  3. B

    Yupo wapi Zuhura Shaabani aliyeimba wimbo "Hakuna Tenda, Hakuna Buzi"?

    kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa. anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya wimbo na hapo ilikuwa ni muscat oman. yes am a man i am a dj i love music all kind of music. i...
  4. REJESHO HURU

    Wadau wa burudani yupo wapi Mc Babu Ayubu

    Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa mjini hasa sauti ya mzee wetu afande tibaigana Kajificha wapi uyu mtanzania mwenzetu.
  5. Uponyaji na uzima

    Yupo wapi Andrew Chenge?

    Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu. Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko. Kipindi hiki watu wanarudi zao tutashangaa tu tushapigwa tukio.
  6. Liutenant

    Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

    Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya CRDB. Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
  7. M

    Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

  8. Pettymagambo

    Yupo wapi master lecture?

    Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni...
  9. Wu-Ma

    Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  10. L

    Ndugai yupo wapi? Je aliandika barua ya kujiuzulu??

    Ndugai yupo wapi?? Je aliandika yeye hiyo barua. Nimepenyezewa Ndugai yupo kizuizini. Hata ile barua iliyoandikwa hajaandika yeye.
  11. tang'ana

    Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

    Naona hatuhabarishi mambo yanayoendelea ndani ya chama sisi wanachama na wapenzi wa Chadema. Yupo wapi huyu mtu?
  12. Cathelin

    Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana. Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Back
Top Bottom