yusuf makamba

Yusuf Makamba is a Tanzanian CCM politician.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

    Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu. Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Yusuf Makamba awaomba Watanzania wamuombee Rais Samia ushindi na Afya Njema

    Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuf Makamba, amewataka Watanzania kumuombea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ushindi, afya njema umri mrefu kutokana na kujitoa kwake kwa dhati kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya taifa. Akizungumza katika dua maalum iliyofanyika nyumbani...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

    Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM. - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia - Nani atakuwa Makamu...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Yusuf Makamba aliongoza Dar es Salaam, Chalamila hawezi kushindwa

    Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu. Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila? Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

    Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia. Karibuni.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

    Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa wanaomzunguka, huwafanya watu waingiwe na huruma. Lakini naamini lengo la Mzee Makamba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu nguli wa Siasa Mzee Kinana na Mzee Makamba kurudi kwenye chati na kuendelea kuheshimika?

    Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano. Je, sasa si wakati wa wazee wetu hawa kurudia kuheshimika kutokana na hazina yao ya kisiasa hapa Tanzania? Karibuni kuchangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…