Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.

Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
 
Kambos wametulia kwanini unawachokoza?
 
Kinacho wakuta hao ni kile kile ninacho semaga hapa kila siku ...kuwa wapumbavu siku xote ujifunza kwa hasara na maumivu na uchungu kwa sababu u practice upumbavu wao maishani.
 
Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.

Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Kabaki kucheza muziki nyumbani kwake Tegeta na mjukuu wake mwanamuziki yule nusu mmatumbi nusu mzungu.
 
Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.

Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Kuramba asali kunahitaji utulivu maana wawezapaliwa.
 
2029 hao wataanza kuwaita Journalist na kuanza Kuongeza, Kwasasa wameona watulie Kwanza ili wasipate Usumbufu wa kuwa monitored,

2029-2030 Mwenyekiti wa Chama wa sasa ataona rangi nyingi za watu wake.
 
Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.

Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Mazafakas wako Bumbuli wanaisoma namba!
 
Ndio gharama anayopitia na familia yake, wakitegemea mzee wa msoga wakati mzee wa msoga kwenye suala la maslahi yake ana rafiki wa kudumu.

EL alikuwa royal kwa jk kilichomkuta ilibaki story
Sio Royal ni Loyal
 
Back
Top Bottom