Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

Kizimkazi akigundua humlambi miguu au unataka kumchallenge, faster anakushughulikia.
 
Kuna mwingine anaitwa sijui Bulembo...yan alikuwa na dharau zaid ya dharau yenyewe..alikuwa mwenyekit wa umoja wa ccm..kweny vikao alikuwa anatoq shiit ile mbaya akiwa anashirikiana nq yule bonge aliefariki kwa jina la Willium au Lemutuz
 
Kwa inavyoonekana January muda wowote anaweza kurudi, Probably baada ya mhula huu kuisha, baada ya mhula huu kuisha mambo yatabadilika Kwa haraka Sana kama upepo na utaona jinsi tulivyo wapuuzi, January atapokelewa kama Shujaa, Return of the legend...Yaani CCM wanakwenda na upepo kutegemea na mazingira yaliyopo Kwa wakati huo, huyu wa sasa watu wake aliowaweka watapukuswa vibaya Sana baada ya muda kuisha.
 
January yupo na wala hajaanza kuwa kimya leo aliwahi kuwa kimya wakati wa Magufuli sembuse Samia subiri hiyo 2030 ndani ya chama ndio utamjua vizuri.
 
Back
Top Bottom