Kwa nini wasimkamate mchana?👇
Katibu wa Kanda ya Victoria, ndugu Zacharia Thomas Obadi, amekamatwa na watu waliofika nyumbani kwake saa nane usiku na kuanza kugonga mlango.
Hata hivyo, mlango haukufunguliwa hadi ilipofika saa tisa usiku, ndipo walipokuja na Mwenyekiti wa mtaa na kujitambulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.