zahir zorro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Zahir Zorro moto wa Allah hauzimiki kwa fire extinguisher, ni wa milele

    OOOH ZAHIR ZORO MOTO WA ALLAH HAUZULIKI Mzee Zahir Ali Zoro — Mmanyema wa kabila, mzaliwa wa Uislamu — kwa bahati mbaya aliteleza katika mtego wa anasa za dunia. Akauacha Uislamu, dini aliyozaliwa nayo, dini aliyojua haki yake, mwisho wake na uzito wa kuigeuka. Si hilo tu; aliwavuta pia...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Zahir Zorro: Nizikwe na fire extinguisher saba za kuzima moto kwani najua niendako

    Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7" Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Familia ya Zorro miongoni mwa familia zilizotunyima kolabo kali

    FAMILIA YA ZORRO MIONGONI MWA FAMILIA ZILIZOTUNYIMA KOLABO KALI. Sikumbuki ni nani alikuja na wazo la kutengeneza albamu iliyoitwa BABA NA MWANA! Ilikuwa ya moto sana na ilikuwa na ladha TOFAUTI. Nakumbuka Francis Nguza na Nguza Viking almaarufu Papii Kocha na Babu Seya waliurudia wimbo wa...
Back
Top Bottom