Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7"
Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!