Zahir Zorro: Nizikwe na fire extinguisher saba za kuzima moto kwani najua niendako

Dhambi zinazo samehewa nizile ulizofanya bila kujua , unazofanya ikiwa unekusufia na ukiwa na ufahamu sahihi hazisamehewi
We ni nani unayesema hazisamehewi? Hata kama mtu yupo hai akitubu hasamehewi?
 
Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7"

Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!
Nikumwimbea rehema kwa Mungu
 
Umeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa
Majivuno yaka ishia hapo, naona hata kupiga picha aliona aibu.
 
Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7"

Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!
Saba hazitoshi,mwenzie jiwe aliondoka na tani Tano za fire extinguisher powder...
 
Munaondolewa kwenye reli/ misimamo kidogo kidogo mpaka mrudi kama mlivo kuwa zamani. (Mazombies)
 
Dhambi zinazo samehewa nizile ulizofanya bila kujua , unazofanya ikiwa unekusufia na ukiwa na ufahamu sahihi hazisamehewi
Mungu anasamehe dhambi zote isipokuwa dhambi ya kuabudu masanamu ukayanasibisha na Mungu...hao hawana msamaha wataangamia
 
Kama anaamini kuna moto si afanye toba asione dhambi zake ni nyingi kuna watu wameua zaidi ya watu buku na zaidi kwahiyo zake ni za kawaida sana kwenye ulimwengu wa dhambi

Mungu alishasema haziakiwi, Ufanye dhambi ili uje utubu unapotaka kufa 😀
 
Cleopatra.

Zahir Ally Zorro - Nikikumbuka akiwa kwenye his prime ilikuwa hatari.

Nikimkumbuka Mohamed Ali - The World's Greatest

Kweli binadamu si kitu...Lets be humble you know.

Get Well Soon Mzee Zahir Ally Zorro.
Ni kweli. Kla kitu kitapita. Huyu jamaa ana kipaji cha muziki cha asili, sauti yake... utunzi wake... na hata yeye mwenyewe siyo mtu wa maringo. Ndiyo ... ni mtu anajipenda na kwenda na wakati lakini hana dharau kwa watu na hutamsikia anasimanga watu ''wafanye kazi'' kama wanavyofanya wanamuziki wengine
 
Waliosema maisha ni fumbo waliona mbali sana. Wakuu maisha sio ya kuyanenea lolote lile. Ukiona wewe unaishi poa, unatenda yaliyo mema, wala usipige kelele endelea kimya kimya, hujui kesho. Maisha yanauwezo wa kugeuza upande muda wowote. Kitu ninachomuomba Mungu kila siku, anipe busara, nijue cha kusema na kutenda.
 
Yani matashtiti yote kwisha hajapost picha wala video, tatizo bamtu wake ndo huyo ana swaga kama za watu wa Qnet kila kitu anakitolea maelezo mtandaoni ndo kustuka yeeeee huyu si fulani......maisha haya nyieee
Kuna sister mmoja kitambo alikuwa ana sema kitaa mi hamna hamna awe na mahari ya milioni 13, gari 2, nyumba za kutosha.

Wahuni sio watu, siku hizi single mama ana piga kelele huyo.
 
Ikute walitoa kafara ili wafanikiwe kimusic.Ila atubu nafasi bado anayo.
 
Mungu anasamehe dhambi zote isipokuwa dhambi ya kuabudu masanamu ukayanasibisha na Mungu...hao hawana m

samaha wataanga

We ni nani unayesema hazisamehewi? Hata kama mtu yupo hai akitubu hasamehewi?
Labda Mungu unayemwabudu wewe ,tuliumbwa na kupewa akili za kufikiria yaani utashi kumfanya maamuzi sahihi dhambi inayosamehewa ni ile uluyofanya katika mazingiria ambayo ulikuwa huna namna labda kuokoa uhai wako
au WA wengine, au mkeo anakunyima unyumba ukapiga punyeto au ukatoka nje ya ndoa Tena iwe niwakati ule TU una shida hiyo ukiendelea Mungu hakusamehi.
Makosa mengine Baba husamehe ni yake yaliyo fanywa nara Moja tu harafu mtu akajirudi Nina mifano mingi ngoja niishie hapa Kwa leo. Kumwelewa Mungu ni somo gumu sana LAKINI nirahisi kusikiliza na kuya fuata mahubiri na mawaidha ya viongozi WETU wadini. Usitende Kwa sababu utatubu,
 
Umeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa
Hahaa Good Morning Milionea 😉😉 wazee wa Qnet.....Amaruka "JOKO" kaenda kukanyaga "VIMA".
 
Kuna sister mmoja kitambo alikuwa ana sema kitaa mi hamna hamna awe na mahari ya milioni 13, gari 2, nyumba za kutosha.

Wahuni sio watu, siku hizi single mama ana piga kelele huyo.

Baadhi ya wanawake wakiwa kwenye peak 18-24 hapa ndipo wanapopotea ,ni wakati wa kupishana na gari la mshahara au kuelekea halijojo.
 
Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7"

Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!
Kwani huyu Mzee alikuwa kama uncle T???
 
Ni mgonjwa yuko kwenye hali ngumu, so anaweza tamka lolote, siyo akili yake tena.
God do mercy for this man.
 
Back
Top Bottom