Zahir Zorro: Nizikwe na fire extinguisher saba za kuzima moto kwani najua niendako

Zahir Zorro: Nizikwe na fire extinguisher saba za kuzima moto kwani najua niendako

Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!
True G, mzee yupo real hataki kusema uongo kaamua kuusema ukweli ila uzuri yupo ndani ya dini 2 sasa sijaelewa hapo amezungumzia upande upi wanaoenda na fire extinguisher 7 huko wanakoenda au upande wa yule pasta anaejaza mtungi wa gesi kwa mdomo?
 
he look like a gay
Ndio alivyoumbwa, Mzee muda umeisha kuna kipindi unakula sana raha za maisha unatabasamu muda wote unafanya kazi nzuri unalipwa vizuri ila kuna kipindi kinafika muda wote wewe ni wa kulala kitandani tu kutoka kwenda popote hauwezi tena wewe ni wa kitandani tu, nilipitia huo mkasa kidogo kwa kahoma fulani kalinipiga nahisi nilikua naonyeshwa picha fulani jinsi inavyokua, uheshimu sana mgongo wako katika sehemu za mwili ambazo zikileta shida ubongo unapata changamoto ukiondoa miguu basi mgongo wako una ramani zote za mwili wako ukiumwa mgongo akili haitulii utafanya kila namna na kila jinsi mgongo utulie na upone bila hivyo ni mateso, sasa just imagine unaulalia mgongo saa 24 kila siku inafika muda mgongo nao unachoka tabu zinaanzia hapo, ila Mzee Zahir tangu afiwe na Mwanae Maunda na ile ajali mbaya ya gari hajawahi kua sawa hata ningekua mimi nisingekua sawa mpaka leo
 
Hakuna kitu kibaya kama mtu kujikatia tamaa huku bado ukiwa upo hai.
Hata Mpira unaisha na Matokeo, hivyo ndivyo dunia ilivyo ni uwanja wa mapambano at the end lazima mchezo uishe na kila mtu anajua hilo, baada ya miaka 50 mpaka 70 nadhani wachangiaji wengi humu watakua tayari wapo chini futi 6 na wengine upcoming watakua kwenye hali km anayoipitia huyo Mzee ni imeandikwa hivyo Uzee maji ya moto sio Ujana tena maana siku hizi fainali haichezwi Uzeeni tena unaimaliza ukiwa kijana Uzeeni unakua na matokeo yako km ulibeba kikombe au uliishia mshindi wa tatu, kwa hio hilo halipingiki
 
Unaweza ukadhani miaka 50 au hiyo 70 ni mbali....Mungu akinijalia nitakuwa na miaka 99 hahaha...hello NO.
 
Unaweza ukadhani miaka 50 au hiyo 70 ni mbali....Mungu akinijalia nitakuwa na miaka 99 hahaha...hello NO.
Hapo utakua tayari ushawahishwa bibi yangu ana miaka 100+ sasa hivi, hasikii, kuona kwa tabu, kuongea ni shida, na huyo ni bibi, Babu alishakwenda akiwa na miaka 70 tu too young for me yaan kwangu naona Babu alifariki ingali bado akiwa kijana wa miaka 70 sababu ya muonekano wake hakuwahi kua na muonekano wa Mzee, Babu kijana
 
Cleopatra.

Zahir Ally Zorro - Nikikumbuka akiwa kwenye his prime ilikuwa hatari.

Nikimkumbuka Mohamed Ali - The World's Greatest

Kweli binadamu si kitu...Lets be humble you know.

Get Well Soon Mzee Zahir Ally Zorro.
Umeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa
 
Aibu hii iwe kidogo yaan usiwape full aibu wape nusu nusu maana watu wanaongea baada ya miaka kupita utajikuta hata maiti yako inaongelewa vibaya ukishakufa ooh marehemu hakufunga mdomo sababu alikua anaongea sana
 
Huyu Mzee kwa jina lake naona ni Muislamu sasa hii ndo shida ya Kua Muislamu Jina yani hujui dini yako na huna muda na dini yako

Uislamu unatufundisha kutokata tamaa ata kama una madhambi kiasi gani wewe omba toba tu Allah atakusamehe madhambi yako

{ ۞ قُلۡ یَـٰعِبَادِیَ ٱلَّذِینَ أَسۡرَفُوا۟ عَلَىٰۤ أَنفُسِهِمۡ لَا تَقۡنَطُوا۟ مِن رَّحۡمَةِ ٱللَّهِۚ إِنَّ ٱللَّهَ یَغۡفِرُ ٱلذُّنُوبَ جَمِیعًاۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلۡغَفُورُ ٱلرَّحِیمُ }
[Surah Az-Zumar: 53]
Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Mabishoo wa zamani hawa, Mzee kila akijiangalia enzi hizo, anaona kabisa basi kama ni dhambi yy kazimaliza zote, yaani haoni kabisa upenyo wa kuona nuru akifa, mtu mzima kufikia Hali hii jua Tu si Kwa Bahati mbaya....Mzee asikate tamaa bado muda anao.
 
Kama anaamini kuna moto si afanye toba asione dhambi zake ni nyingi kuna watu wameua zaidi ya watu buku na zaidi kwahiyo zake ni za kawaida sana kwenye ulimwengu wa dhambi
Dhambi zinazo samehewa nizile ulizofanya bila kujua , unazofanya ikiwa unekusufia na ukiwa na ufahamu sahihi hazisamehewi
 
Back
Top Bottom