Umeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa