Mbunge wa Viti Maalum (Vijana), Zainab Abdallah, ameshauri kufanyika kwa mabadiliko ya kimfumo katika usimamizi wa maafisa vijana nchini ili kuleta uwajibikaji wenye tija na kasi inayofanana na kundi hilo la jamii.
Soma: Wizara ya Vijana yaomba Tsh. Bilioni 35.9 kuimarisha Maendeleo ya Vijana...