zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Marais wa Tanzania kwenye kuongoza nchi pamoja na sababu zake

    TOP ya Maraisi kulingana na uwezo wao: 1. Nyerere Alitumia akili nyingi kutupatia uhuru bila kumwaga damu, aliongea vitu vingi ambavyo vingine vinatokea sasa, uzalendo usiokuwa na mashaka, nchi aliunganisha kwa makabila yote na kupatikana mswahili na pia alijua ni lazima atoke madarakani ili...
  2. JamiiForums Tanzania Jina la Yesu limefanya maajabu: limemzuia mwana mazingaombwe kucheza "show" zake

    Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza! Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana...
  3. JamiiForums Tanzania Ijue historia ya nguo ya ndani(BIKINI)aina zake na matumizi yake!

    Historia ya chupi ya bikini Bikini ni aina ya vazi la kuogelea (swimsuit) au nguo ya ndani yenye vipande viwili – juu (bra/top) na chini (panty). Mwanzo wake: Enzi za kale: Wazo la bikini si jipya. Picha za kale za Warumi na Wagiriki kwenye sanamu na michoro zinaonyesha wanawake wakiwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    ( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni 10. Mara kusikiliza kero kidigitali. Mara nishati Safi ya kupikia. Tena mitaa ya viwanda sijui...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  9. JamiiForums Tanzania Diamond apigwe marufuku nyimbo zake zimejaa matusi

    Wakuu Huyu kijana amechangia mno kuharibu hiki kizazi. Nyimbo zake ni matusi tupu. Apigwe marufuku kabisa .
  10. JamiiForums Tanzania Polepole: Lissu aachiliwe aende zake nyumbani

    Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha hiki rekebisha kile na twende kwenye uchaguzi Amesema Polepole
  11. JamiiForums Tanzania Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

    Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike, Hadi kwao kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Andaeni SAMIA GALA TUZO 2025 , Mmtuze Tuzo zake zote Kwa pamoja , na Si Huu Ujinga wa Kila siku Tuzo , Tuzo za Kichawa !!

    Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣 Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!. Ni...
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  15. JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu: Kiongozi Akifariki Simu zake na Official Comms Zinakuwa Handled Vipi

    Salamu Wanajukwa, Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo. Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi mapama ya kiusalama. Viongozi ni binadamu kama sisi na wanawasiliana na viongozi wengine kwa protocols...
  17. JamiiForums Tanzania Mpina aliitwa mbunge wa Taifa na Rais Akihito kumteua katika nafasi zake 10

    https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais? Kule Zaire Mobutu alikua na...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa maandalizi ambayo Mama Samia amefanya kwa ajili ya huu Uchaguzi Polepole na agenda zake anahitaji muujiza

    Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
  19. JamiiForums Tanzania “Vipi kama Mungu angekupa siku 3 kuwa na nguvu zake na kuchukua udhibiti wa kila kitu kabisa? Ungefanya badili nini

    For my side, ningewaangamiza mashetani na majini wote ◇ Ningebadili me na ke wote wale kwa jasho zao ◇ Wanamtandao wote waliotajwa na polepole ningewapoteza kwenye uso wa dunia. Je wewe ungefanta nini tz and world wide?
  20. JamiiForums Tanzania Una Mke anayewapenda wadogo zake kiasi cha kijana wa umri wa miaka 34 anaishi Kwa Dada

    Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho inanidunda Kwa Sabab anakiwa mzigo. Kuna wakati naona hata ndoa itaharibiwa na Hawa ndugu maana nahisi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…