Habarini za majukumu wana JF,
Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
Salaam ndugu zangu,
Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara.
Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona.
Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta.
Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda ameahirisha ziara yake ya Mikoa 20 Back to Back ili kushiriki msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyefariki jana katika Hospital ya moyo ya JKCI Jijini Dar es salaam.
Akizungumza mjini Songea Mkoani Ruvuma Makonda amesema kama...
Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi.
Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo ongezeko la wachezaji wenye viwango vikubwa kwa timu nyingi, kama kuna jambo moja ambalo limekuwa...
Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine.
Eeeehh mara hivi mara vile.
Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani.
Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana.
Ni biashara ya upande mmoja.
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha.
Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
Anaandika BICHWA KOMWE:-
Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana.
Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya turufu. Anashinda asubuhi na mapema.
Sijui kwanini lile shindano la mrembo wa Jamiiforums hakupewa...
Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu
Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari vilivyokuwa vikimwandama, kumchafua na kubezwa karibu na kila mtu, kwa akili yanfu naliamini kuwa...
Lazier lipa bana atujazoea kuringishana huku tunadhulumu watu
ARUSHA: Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Saninu Laizer maarufu kwa jina la Bilionea wa Tanzanite amemwangukia Mwekezaji raia wa China, Jun Fang akiomba wakae...
📌📌 SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA
Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu kuona Uhai wa Chama, Wasanii wataburudisha kipindi cha kampeni
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========...
afcon
baada
bongo
goli
hamasa
hesabu
ivory coast
kamati
kichapo
kupiga
kutoka
kwanza
matapeli
morocco
mwarabu
pesa
tanzania
tayari
uzalendo
video
vidole
vipi
watanzania
zake
zao
Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu
Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
Mimi nimeokoka sikuhizi, Fulani kaokoka baada ya kutoka jela, fulani kaokoka baada ya kuponea chupu chupu ajali, n.k, ni kauli ambazo nikizisikia namrefer mhusika moja kwa moja na ndumilakuwili.
Kuokoka huwa ni siri ya mtu binafsi na Mwenyezi Mungu, kwamba yeye anatenda, kufikiri, kunena, n.k...
Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) wamechinja bibi na wajukuu zake na kuchoma maiti zao kijijini Uganda.
Hivi mbona dini isiwe chanzo cha amani. Unayafanya yote haya kisha siku za kufa kwako ushangae 'mungu' ambaye unampigania kumbe siye, yaani miaka...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas.
Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi kuwatakia Watu heri ya Christmas kwa sababu yeye ni Muislamu...
MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA
Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.