Hakuna hata Jimbo moja lenye maendeleo, labda liwe na katiba yake na sera yake zake, ila sio kwa sera hizi. Wajinga tunahadaiwa sana

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.

1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera nzuri za kufanya biashara.
4. Elimu bora na yenye viwango.
5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii.
6. Kiwango cha chini cha umasikiji wa vipato.
7. Miundombinu bora.

Haya ndio maendeleo, na sio kusambaziwa magari Magari ya kubeba maiti , Mifuko ya Saruji na mabati na kujengewa makaravati kwa pesa ya mbunge.

Haya yanahitaji sera za Kitaifa na sio za Mbunge mmoja mmoja, jimboni kwake, wajinga tuna hadaiwa sana aieee naumia kuona sisi wajinga tunavyo hadaiwa.

Mbunge anaahidi vitu ambavyo sio vya kijimbo na tunashangilia.

Tutadanganywa na hawa wagombea ubunge hadi siku tunaingia kabulini na hapo ndio itakuwa mwisho wa kudanganywa.
 
Maendeleo ya jimbo yanaanza na mtu binafsi.

Jimbo lenu halina ushirikiano kati ya wananchi wao kwa wao.

Hakuna hata group la whatsapp la wananchi mahali mnapoweza kujadiliana namna ya kuinua hali za wananchi.

Akili za kuilaumu serikalini zinazeeka na kupitwa na wakati kwa kasi ya SGR.

Serikali huleta yale ya msingi pekee, tuna safari ndefu ya kuyafikia maendeleo kwa mujibu wa akili zetu za kisasa.

Mchango wa maendeleo ya kweli huanza na kuamka kwa mtu mmoja mmoja huko tunapotokea.
 
Unazungumzia maendeleo yapi? ndio mnavyo danganywa? nitajie hilo Jimbo basi au halina jina?
 
Maendeleo ya jimbo yanaanza na mtu binafsi.

Jimbo lenu halina ushirikiano kati ya wananchi wao kwa wao.

Hakuna hata group la whatsapp la wananchi mahali mnapoweza kujadiliana namna ya kuinua hali za wananchi.

Akili za kuilaumu serikalini zinazeeka na kupitwa na wakati kwa kasi ya SGR.

Serikali huleta yale ya msingi pekee, tuna safari ndefu ya kuyafikia maendeleo kwa mujibu wa akili zetu za kisasa.

Mchango wa maendeleo ya kweli huanza na kuamka kwa mtu mmoja mmoja huko tunapotokea.
Bado uko zama za giza sana, Mungu akusaidie
 
Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.

1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera nzuri za kufanya biashara.
4. Elimu bora na yenye viwango.
5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii.
6. Kiwango cha chini cha umasikiji wa vipato.
7. Miundombinu bora.

Haya ndio maendeleo, na sio kusambaziwa magari Magari ya kubeba maiti , Mifuko ya Saruji na mabati na kujengewa makaravati kwa pesa ya mbunge.

Haya yanahitaji sera za Kitaifa na sio za Mbunge mmoja mmoja, jimboni kwake, wajinga tuna hadaiwa sana aieee naumia kuona sisi wajinga tunavyo hadaiwa.

Mbunge anaahidi vitu ambavyo sio vya kijimbo na tunashangilia.

Tutadanganywa na hawa wagombea ubunge hadi siku tunaingia kabulini na hapo ndio itakuwa mwisho wa kudanganywa.
Matajiri ni Wabunge, mawaziri na viongozi wa serikali tu.
 
Umeongea point Sana .

Sera ya mfumo wa majimbo imekaa vizuri Sana .

Mfano tukisema mapato yanayopatika DSM yarudishwe DSM ili kuhudumia DSM maana yake tutakuwa na barabara nzuri , huduma za Afya n.k

Najaribu kuiweka comment yangu vizuri
 
Hata bila kuiweka vizuri hapo umemaliza kaka
 
Haya yote yanafanyiwa kazi kitaifa na kwenye baadhi ya majimbo tayari yameshaweza kufikishwa.

Tatizo mnaandika nadharia nyingi mkiwa mmejifungia vyumbani mwenu.
 
Sera ya majimbo kwa jicho la jumla inaonekana ni nzuri lakini imejaa mikwamo yake mingi tu. Inaweza kulivunja taifa. Kumbuka binadamu kaumbwa na ubinafsi mwingi.
Italivunja vipi Taifa.

Mfano mapato yanayopatikana Geita ukiwa unayurudisha Geita pale pale kwa 80% ili yafanye maendeleo maana yake Geita itapaa Sana .

Sera ya majimbo itaongezeka uwajibikaji na kuondoa ukiritimba kimaendeleo
 
Baadhi ya hayo uliyoyataja hata kitaifa bado ni tatizo.

Nenda mkoa wa Pwani umejaa viwanda kila wilaya halafu tazama ni kwa kiwango gani utatuzi wa shida zao unavyofanyiwa kazi.
Ndo tunahitaji kuondoa hilo tatizo mfano mkuranga kuna viwanda Sana Ila kodi inayokusanywa mkuranga inaenda kutumika nje ya mkurunga maana yake hatuwezi kupiga hatua.
 
Umeongea point Sana .

Sera ya mfumo wa majimbo imekaa vizuri Sana .

Mfano tukisema mapato yanayopatika DSM yarudishwe DSM ili kuhudumia DSM maana yake tutakuwa na barabara nzuri , huduma za Afya n.k

Najaribu kuiweka comment yangu vizuri
Kabisa .
Fikiria mtu anatoka nzega huko anaenda kuwa DED halmashauri ya bumbuli.
Kwann watu wa Bumbuli wasitoe DED wao mwenye kujua kinachotakiwa na kuhitajika huko??
 
Ndo tunahitaji kuondoa hilo tatizo mfano mkuranga kuna viwanda Sana Ila kodi inayokusanywa mkuranga inaenda kutumika nje ya mkurunga maana yake hatuwezi kupiga hatua.
Utalii unaongoza kwa kuleta mapato mpaka muda huu, huwezi kusikia pesa ya utalii inatajirisha mikoa ya Arusha na Kilimanjaro pekee.

Kuna mikoa haina rasilimali, ina maana isifaidike na utajiri wa nchi kwa sababu ya jiografia kutoipendelea?.
 
Kabisa .
Fikiria mtu anatoka nzega huko anaenda kuwa DED halmashauri ya bumbuli.
Kwann watu wa Bumbuli wasitoe DED wao mwenye kujua kinachotakiwa na kuhitajika huko??
Umoja wa kitaifa unaifanya Tanzania kuwa hivi ilivyo, ukianza kutafuta wenyeji wawe viongozi wa maeneo husika unajenga ubaguzi na chuki. Ni rahisi kuivunja nchi ikiwa kila mtu anajitambulisha kwa eneo alilozaliwa.
 
Italivunja vipi Taifa.

Mfano mapato yanayopatikana Geita ukiwa unayurudisha Geita pale pale kwa 80% ili yafanye maendeleo maana yake Geita itapaa Sana .

Sera ya majimbo itaongezeka uwajibikaji na kuondoa ukiritimba kimaendeleo
Sera ya majimbo itavunja nchi kwa maana ya baadhi ya maeneo kutojaliwa na Mungu. Utaivunja nchi mapema sana.

Kinachojificha nyuma ya ukanda ni ubaguzi na roho ya choyo inayoibuka kwa baadhi kudhani wanawabeba wengine.

Unity is everything mkuu.
 
Mbona marekani IPO sawa je Unaona ni sahihi kuchukua mapato ya Kahama na shinyanga kutoka katika madini Ila wananchi wanabaki wanakunywa Maji ya na mifugo?
 
Back
Top Bottom