Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Usitazame maji na mafigo tu tazama na namna sekta ya afya inavyoboreshwa nchi nzima kwa pesa za madini za kanda ya ziwa.Mbona marekani IPO sawa je Unaona ni sahihi kuchukua mapato ya Kahama na shinyanga kutoka katika madini Ila wananchi wanabaki wanakunywa Maji ya na mifugo?
Tazama namna kodi inavyotumika kujenga viwanja vya ndege nchi nzima.
Tazama namna SGR inavyokatiza kwa pesa ya kodi katika mikoa yenye rasilimali na isiyo na rasilimali.
Marekani ipo kama ilivyo kwa sababu za kihistoria, kumbuka hao hao viongozi waanzilishi wa USA walilazimika kununua ardhi kadri miaka ilivyokuwa ikipita ndipo wakaweza kuwa na taifa kubwa kwa sasa. Pia walifanya unyama wa kuuwa wenyeji waliozimiliki hizo ardhi.