Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Zingatia hii, mwili wa binadamu unaweza kuonesha ishara mbalimbali katika kufikisha ujumbe pasipo kutumia maneno kabisa.
FBI au polisi wapelelezi wanafanikiwa kuwabaini watuhumiwa wa makosa mbalimbali kwa urahisi zaidi kwasababu ya ishara wanazozionesha wakati wakihojiwa.
Zifahamu ishara zenye jumbe kabambe kupitia kitabu hiki, kilicho andaliwa na FBI mstaafu Joe Navarro.