Ndo nini sasa!?
Kwani Gaza ni kwenu?Project yenu ya kuongeza ukuta kule Gaza vipi ...iko Kama hiyo picha ?
Russian Putin ni kichwa cha mwendawazimu.
ukraine walitakiwa kupambana sana waelewane na mrusi
We unaonaje kwani ?Kwani Gaza ni kwenu?
Hii chini ni expansion ya Magharibi hapo Mashariki ya kati wakitumia kivuli Cha mayahudi
Hahaha 🤣🤣🤣 kwawa islamuKwani Gaza ni kwenu?
Kwanini NATO wali tupia mabomu ubalozi wa China 1990 ?
Wanajitiaga vipofu hao.Hii chini ni expansion ya Magharibi hapo Mashariki ya kati wakitumia kivuli Cha mayahudi
Wanafiki tu haoHahaha 🤣🤣🤣 kwawa islamu
Sifahamu mkuuRussia walikuwa wanataka nini kwa Ukraine?