Kila Mtanganyika halisi, ataitetea Tanganyika kwa nguvu zake zote

Kila Mtanganyika halisi, ataitetea Tanganyika kwa nguvu zake zote

Wazee wetu, kusudio la Tanganyika kuwa chini ya mwamvuli wa Tanzania bado iko nuru?
 
Kabla ya kuitaka tanganyika yenu kwani nani kaipoteza,mama piga spana hao majuha wa tanganyika mpk akili ziwakae sawa
 
Kabla ya kuitaka tanganyika yenu kwani nani kaipoteza,mama piga spana hao majuha wa tanganyika mpk akili ziwakae sawa
Apige supana majuha ya Tanganyika...?

We liccm huna adabu kabisa,, kumbuka huku ni ugenini aisee
 
Tumejipiga kwa Katiba Yetu wenyewe! Venance alionyesha vifungu.
Sasa huyu Mkwere ndiyo mshenzi kabisa anazidi kumkingia kifua ili amalizie udalali wa Tanganyika yetu.
 
Ni wakati sasa wa watanganyika wazalendo ndani ya serikali kumuunga mkono Polepole kwa kujiuzulu nyadhifa zao.
Kina Mpina, Gambo, January Majaliwa Kasimu Gwajima, Chadema na wengine wengi

Huu ndio wakati sahihi wa kuunganisha nguvu kuondoa dhuluma
 
Back
Top Bottom