Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu.
Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa...
Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
Vita kumbe bado viko hatua za mwanzo sana na yajayo yatafurahisha.
Inashangaza sana nchi za kiarabu kumuogopa simba ambaye ameshachoka kujitetea
Habari mpya ni kwamba jeshi la Israel huenda likainunua upya mitambo yake ya Iron dome iliyoiuzia au kuitoa kwa mshirika wake US.
Hali hiyo si jambo...
FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake katika UISLAMU.
Sehemu Ya 1
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ)
As-salāmu alaikum wa-rahmatullahi wabarakātuh.
Peace be upon you as well as God's mercy and blessings.
Amani iwe juu yako pamoja na rehema na baraka za Mwenyezi Mungu...
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system
Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo?
Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni...
Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi.
Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo.
Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia
Kuna Aina nyingi za Fursa katika biashara ya Mazao inategemea na MTU angependa kujikita wapi
Kwanza Kuna wale wanunulia...
Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri.
Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi.
Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu.
Ukiwa na ukuta mweupe blue...
Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania niwasahaulifu au ni wajinga kiasi hicho 😂😂😂😂😂😂.
Yani huyu dada alikuwa hakauki kwenye magazeti ya udaku...
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.
Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu.
Ofcoz inakuwaga mziki sana kuanzisha maongezi kwenye mazingira kama haya, ningependa kwa mwenye trick atusaidie.
01 November 2023
Seoul, South Korea
Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda.
Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1.
Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
Habari wakuu,
Kama wanadamu tuna kasoro na mapungufu mengi ambayo katika hali ya kawaida ni kama tumeumbwa navyo yani huyo ndo wewe huwezi kumbadilisha.
Katika hali hii wengi wanapata shida kuishi na watu ata wenza wao wanajikuta wanakuwa kero kwa watu wanaowazunguka.
Wakati mwingine inatesa...
Wasalam,
Leo katika pitapita zangu humu jamvini nikakutana na andiko moja kutoka kwa member fulani (simkumbuki jina) akihoji ni muda gani watu wa jf hufanya kazi sababu wapo baadhi ya members (nikiwepo mimi mwenyewe) kila uchwao ni kukesha na kuzurula mitaa tofauti ya humu ndani, kiukweli...
Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.