Hezbullah haitasalimisha silaha zake chini ya vitisho vya Israel

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,253
Reaction score
15,070
Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia walio ahidi USA na Saud Arabia kuijenga Lebanon na kuwachiwa mateka wote wa Lebanon

Mkuu wa Hezbullah anasema; Hatuwezi kuombwa kupunguza misimamo yetu au kuweka silaha chini wakati Israel akiendelea, kila mda kushambulia Lebanon na wamechukua ardhi ya Lebanon bada wao kuondoka na kurudi nyuma ya Letani River. Naim Qassem aliwaambia maelfu ya wafuasi waliokusanyika kusini ya Beirut , siku ya leo kusherekea kwa Ashura, siku muhimu katika kalenda ya Waislamu wa Shia.

Mimi niliwambia makenge humu Israel kupiga piga Lebanon si kwamba kamshinda Hezbullah sababu Hezbullah walikuwa wameombwa na serekali ya Lebanon kutokana na mkataba wa resolution 1701 Israel kakubali yale masharti yote atapull out katika ardhi ya Lebanon yote mpaa yale mashamba ya Sheba ambayo kayachukua tokea mwaka 1967.

Pia USA waliahidi kuijenga Lebanon yote yale majumba walio ya vunja wao na Saud Arabia na wenzake wa Gulf states. Sa cha ajabu USA wanawatia pressure Hezbullah na serekali ya Lebanon wabaki kwenye peace na Hezbullah asalimisha silaha tofouti kabisa na walivyo muambia Hezbullah na Serekali ya Lebanon. Israel anataka kujionyesha ana nguvu show off kama kaimaliza Hezbullah kumbe ni serekali ya Lebanon ndio inamzuia kujibu. Hezbullah kawambia leo serekali ya Lebanon hamuwezi kutuomba sisi tubaki kwenye amani na wengine wanavunja amani. Navyo onaa siku zozote zile za karibuni Hezbullah ataishambulia Israel, sababu hawezi kukubali serekali ya Lebanon iwaone Hezbullah ni maadui wakati Israel ndio adui.
 
Kichekesho hiki 😂😂😂, kituko cha wapi hiki kudadeki 😳😳 Jamani maiti imefufuka huko 😂😂
 
Hao wanaoongea huo utumbo siku zao zinahesabika sio siku nyingi wataungana na Nasrallah kule akhera kwa mabikra 72.
 
Hawa watu ni kama kunguni, mmoja anaweza kutaga mayai milioni, hivyo ilikusema wameisha ni kuhakikisha una uwa wote.
 
Back
Top Bottom