zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Mkuu Wa Zamani wa Australia ashutumiwa kwa Kuendesha Wizara 5 kwa Siri

    Waziri Mkuu wa sasa, Anthony Albanese anamshutumu Scott Morrison kushikilia majukumu katika Wizara 5 kwa siri, kinyume na Sheria za Nchi hiyo na kuelezea vitendo vya mtangulizi wake kama uvunjifu wa demokrasia Idara ya Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri imesema kuwa Morrison alikua Waziri mwenza...
  2. Nyimbo gani ya kitambo inakubamba sana ukisikia?

    Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi: TID -zeze Profesa Jay ft Lady Jaydee - Hivi Kwanini Sugu ft Stara Thomas - Kiburi Nipe zako
  3. Wakristo wa zamani walienda Sokoni kwa sababu walikuwa na Biashara sio Kuhubiri wapate Sadaka

    Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono. Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini. Injili ingekuwa rahisi Sana. Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
  4. Kwanini Ali Kiba kaanza kukamata pesa ndefu tangu zamani lakini bado sio tajiri?

    Ali Kiba kaanza kuimba zamani sana aisee, miaka ya 2006 jamaa aliwahi kupewa milioni 200 kwa mauzo ya kaseti na cd zake, hio milioni 200 ya enzi hizo naweza kusema ni kama milioni 600 ya sasa. Hakuishia hapo tu aliendelea kupiga mikwanja mizito endelevu miaka na miaka mpaka sasa lakini bado...
  5. Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic naNationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof Orodha ya Majina haya hapa: Abdallah Iddrissa Majura–Michezo Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari & Mazungumzo baada ya habari...
  6. Januari aitupia zigo Menejimenti ya zamani ya TANESCO kuchelewa mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amenukuliwa akiitupia lawama bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya TANESCO iliyopita kwamba ndio imehusika kuhujumu mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere na kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba. Kama itawapendeza wajumbe naomba...
  7. Mhasibu wa Zamani wa Wizara ya Mambo ya Ndani ahukumiwa kwa Ubadhirifu

    Mhasibu wa zamani Wizara ya Mambo ya Ndani Christina Kaale, amehukumiwa kulipa faini ya sh. Milioni nane ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka manne yaliyokuwa yakiwakabili likiwemo la ubadhirifu wa sh milioni 15.2. Hukumu hiyo imesomwa...
  8. Waziri wa Zamani wa Msumbiji afungwa miaka 16 kwa ufisadi

    Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015. Maria pamoja na maafisa wengine...
  9. Mke wa Rais wa zamani wa Zambia ahojiwa tuhuma za rushwa

    Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amehojiwa na Wakala wa Kupambana na Utakatishaji Fedha wa Zambia kuhusu umiliki wake wa nyumba za kisasa zilizopo katika Mji wa Lusaka. Nyumba hizo 15 ziliweka chini ya uangalizi maalum mwezi huu zikidaiwa kuwa zilipatikana kwa...
  10. M

    Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  11. R

    RTO Tanga liangalie hili la Daladala kufaulisha watu Stendi ya zamani

    Ulianza kama utani, sasa ni "rasmi" daladala zinazopitia Stend ya zamani zinafaulisha watu hapo stend. Notably ni za Raskazoni -Mwahako-Mchukuuni. Haziendi kabisa Raskazoni, zinaishia stend na kutesa watu maana inabidi ulipe nauli mara mbili au wakikufaulisha ni kuwasukumiza kwenye magari...
  12. Simu janja / Smartphone kuendelea kuwa saizi kubwa kiganjani kuzidi za zamani, hii ni kero kwangu tu au?

    Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada. Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh. hizi mpya yani kawaida kukuta...
  13. M

    KWELI Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba

    Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna malori (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika...
  14. Mambo ambayo Wazee wetu wa zamani waliyakataa , Kwa sasa yadhihirika walikuwa sahihi!

    Kwema Wakuu! Kuna mambo ya kale ambayo Wazee wetu waliyakataa na kuyapiga vita lakini wakaonekana hamnazo lakini Kwa sasa imedhihirika walikuwa sahihi kabisa, na aibu imetugeukia Wana usasa. Mambo hayo ni pamoja na; 1. Elimu ya Mkoloni Katika ya vitu ambavyo Wazee walivipinga Kwa nguvu zote...
  15. TANZIA Mbunge na Mkurugenzi wa Fedha wa zamani, Khadija Makontena afariki dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
  16. Maafisa wa zamani wa Idara ya Upelelezi nchini Gambia wahukumiwa kifo

    Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
  17. Rwanda: Afisa wa Zamani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuhusika katika Mauji ya Halaiki

    Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa. Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
  18. Simon Msuva ashinda kesi yake FIFA, kulipwa Bilioni 1.6

    Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza Club ya soka ya Wydad Casablanca ya Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon Msuva zaidi ya dola za kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni 1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye alikua...
  19. Mzozo waibuka kuhusu Mazishi ya Rais wa Zamani wa Angola, Jose Dos Santos

    Inaelezwa kuwa mzozo mkubwa umejitokeza kati ya Serikali ya #Angola na Familia ya Rais #JoseDosSantos baada ya Rais João Lourenço kuamuru kuundwa kwa tume ya Serikali kupanga mazishi ya kitaifa kwa mtangulizi wake, na kusema anategemea kila mtu kuhudhuria ikiwa ni pamoja na familia yake iliyopo...
  20. K

    Eric Hamissi aliyekuwa DG wa TPA kaonewa baada ya kukataa kuhonga wanasiasa kama enzi za zamani

    WNAJAMVI, huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa. Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…