Mhe. Rais tunakushukuru kwa tamko lako kuwa ukaguzi wa magari utarudi kama zamani. Naomba amri hii ingeanza hata leo.
TBS wamekuwa wanatumia nafasi zo vibaya kwa kuwatesa wananchi wanapofuata magari yao Bandarini.
Asilimia karibu 98 ya wateja hawajatoka bure bila kuambiwa kuwa gari yako...
Waziri wa zamani wa Zambia ameingia matatani kwa ufisadi. Karibuni kanunua helicopter ya $700,000.
Kwa mapato yapi huko serikalini?
Alikuwa na mahoteli na mali lukuki.
Hawa ndiyo wale wazalendo sasa kama wetu, ambako huko kuna siri zisizopaswa wenye nchi kuzijua.
Kwani hapa kwetu ni tofauti...
Utasikia wazee au watu wazima wakisema vya zamani ni bora kuliko vya sasa hivi, ina mana magari ya zamani ni bora kuliko ya sasa hivi, redio zao zilikua bora kuliko masabufa ya sasa hivi; nguo zao zilikua bora kuliko za sasa hivi; tv viatu simu na vinginevyo au wanatutia kamba?
Hata mademu wa...
Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho.
Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la kukataa katiba mpya?
Hawa ni wa Ukraine mbona hata kwetu ni hivi hivi?
Hapa mke wa mbunge mmoja...
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine
Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Kula jiwe- kukaa kimya...
Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache.
1:Kifo Haramu
2:Shamba Kubwa
3:Nsyuka
4:Gubu La wifi
5:Chiku na Kapili
6:Shumileta
Nawe shusha zako
Habari ndugu zangu hiv karibuni kumejitokeza wimbi LA watu wanao kuwa wanatafuta pesa za zamani hasa kijerumani je hawa watu wanafanyia nn na ukizingatia zishapita mda wake...?
Msaada tafadhari
Salaam kwenu nyote!
Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana.
Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji
1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini?
2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI?
3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector?
4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA?
5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini
Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa
Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe.
Hapa nazungumzia...
Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
Wana JF
Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la...
Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote.
Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu:
1. Je, zamani tulikua vilaza? Kiasi kwamba nchi nzima div. 1 point 7 unakuta hazifiki hata 20, na utazikuta chache Ilboru...
1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe?
2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed?
3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.