zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mung Chris

    IGP kupandishwa vyeo askari kuendane na utaratibu wa zamani wa sasa unakwaza

    Hivi sasa wameonekana askari wenye elimu kama Diploma na degree kwenda kusomea cheo wengine wa zamani walio kaa sana wana miaka zaidi ya 8 hawajawahi pandishwa cheo wakiwa wanakidhi vigezo vyote na ni watiifu wamebaki, vijana walio ingia kabla yao na ambao hawana vigezo vya muda wa kukaa kazini...
  2. Infantry Soldier

    Wadogo zangu, kabla TV hazijaja enzi hizo mgeni alikuwa anapewa album atazame picha za zamani. Yaani umpe Mtanzania album asichomoe picha hata moja?

    Mambo vp JamiiForums. Nyie watoto mliozaliwa mwaka 2003 mnajua nini maana ya album? Achana na hizo album ambazo baba/mama yako anakuonesha katika smartphones na tablets. Mimi siongelei albums za google photos, sujui google drive mara facebook mara sijui nini wenyewe mnaita Instagram. Hivi...
  3. yuda75

    Tunda limekuwa rahisi sana kupata tofauti na zamani

    Wahenga waeshimiwe. Zamani ulikuwa unaweza mlilia mtu miezi mitatu unaishia kuoneshwa chupi na upati kitu, tunda unalisotea miaka na miaka unaambiwa mpaka ndoa. Oooooooh sasa hivi ukisema tu suuu wanasema swaaaaaa ilo apo mmekutana asubui jioni unaitwa mume na tunda unapewa. nawapa salama...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

    "Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi. Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
  5. Idugunde

    Kwanini Wanawake walio katika ndoa hukumbuka rafiki zao wa zamani na kutaka kulianzisha?

    Unakuta demu umekua nae mkiwa watoto au kusoma nae mpaka std 7, sometimes mmemaliza nae sekondari. Lakini mmepotezana miaka kibao zaidi ya 20. Akikutana na jamaa zenu anauliza ulipo na kutafuta contacts, akizipata ni usumbufu tupu kutaka game, mbaya zaidi wengi wameolewa na kuzalishwa. Tatizo...
  6. D

    Ladha ya Mpira wa Miguu ilikuwa zamani ; Sheria zimekuja kuharibu ladha!

    Watu wazima mtakumbuka! Mkutadha wa mpira wa miguu uligunduliwa huko China! Walikuwa wanacheza mpira wenye umbo kama la yai! Hakukuwa na magoli wala jezi kipindi hiko, watu walitambuana kwa ukoo! Kipindi hiko mpira ulichezwa kipindi cha mchana baada ya kula chakula cha mchana! Haukukuwa na...
  7. Analogia Malenga

    Waziri wa zamani wa Masuala ya kigeni Ethiopia auawa na Jeshi

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kwamba limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF). Bw.Seyum, ambaye alihudumu kama waziri wa mambo ya nje wa kutoka mwaka 1991 hadi 2010, aliuawa pamoja na wanachama...
  8. F

    Burnout wimbo uliobamba na kuuza sana miaka ya 80 vijana wa zamani tukutane hapa

    Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma. Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu. Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
  9. ommytk

    Walevi wa siku hizi wastaarabu kuliko zamani

    Wadau, Aisee naona walevi wa siku hizi wamestaarabika kuliko wa zamani aisee sijui walevi wa zamani walikuwa wanatumia vilevi gani, yaani Siku kama ya leo mtaaani ni vurugu mpaka wazee wanapigana. Wengine wameangusha magari. Siku hizi hakuna kabisa hayo, sijui pombe za zamani zilikuwa kali...
  10. N

    Zamani nilikuwa nikihisi kuwapa vijana nyadhifa za juu kutasukuma maendeleo kwa kasi, kumbe nilijidanganya

    Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi. Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona...
Back
Top Bottom