zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hplp2275H

    Hapo zamani za kale yalikuwa na upofu

    Hapo zamani za kale mapenzi Yalikuwa na upofu, Ila Sasa hivi yametibiwa Yanaona pesa na matako tuu. Ule msemo wa mapenzi upofu ..ukipenda huoni ushapitwa na wakati.
  2. I am Groot

    Halotel tunashukuru kwa kurudisha vifurushi vya zamani, sisi wateja hatuvitaki, turudishieni vile vipya.

    Naona mnajikosha sasa siku zote hizo mlikuwa wapi? Tushazoea vile vifurushi vyetu pendwa vya 2000- mb 700 leo hii mnavitoa? Hata hivyo vya usiku pack na 4g bundle bakini navyo tupeni tulivyozoea vya mwaka huu. #kamati ya roho mbaya.
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Pata hadithi mbalimbali za zamani hapa

    Hii ni thread maalum ya kukuunganisha na mastory mbalimbali ya zamani, nyingi zikiwa ni zile tulisimuliwa na Deborah Mwenda akisaidiwa na Eddah Sanga kwenye kipindi cha Mama na mwana, Radio Tanzania Dar es Salaam. Zifuatazo ni hadithi ntakazozileta wiki hii, wiki ya uhasishaji wa usomaji wa...
  4. Darucha

    Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  5. M

    Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

    Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo...
  6. Mohamed Said

    Hapo zamani za kale

    THOSE WERE THE DAYS...HAPO ZAMANI ZA KALE Kifo cha Prince Philip. Nimelisoma jalada la siku ya uhuru katika Nyaraza za Sykes. Najuta hii leo. Sikulipa umuhimu mkubwa akili yangu ilitekwa na harakati za uhuru wenyewe kwa ajili hii nikaona ikiwa uhuru wenyewe ushapatikana kuna nini tena...
  7. James Martin

    Naomba mshahara wa Rais upandishwe uwe kama zamani

    Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete. Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu...
  8. R

    Mitandao ya simu bado wamegoma kurudisha vifurushi vya zamani, DG TCRA nadhani nawe hapo hapakutoshi, ukimzingua atakuzingua

    Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote. Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
  9. Shadow7

    Ufaransa: Boss wa zamani wa Adidas na mkewe wavamiwa na kujeruhiwa nyumbani kwao

    Inaelezwa kuwa walifungwa na nyaya za umeme, kushambuliwa na kuibiwa vito vyao vya thamanijiji Paris. Bernard Tapie, mwenye miaka 78 aliyewahi kuwa waziri kwa muda mfupi anadaiwa kuwa ni mtu mgonvi sana Amekuwa kwenye mivutano ya kisheria kuhusu rushwa na udanganyifu kwa miongo kadhaa, na...
  10. Idugunde

    Vifurushi vya Data: TCRA yasema mfumo wa zamani unaweza kurudi ndani ya siku nne

    Mkurugenzi mtendaji wa TCRA amesema kuwa sababu kiufundi zitasababisha ichukue siku nne kurejesha mfumo wa vifurushi wa awali
  11. matunduizi

    Je siku hizi watu hawafufuki kama zamani, au hatuna imani?

    Eliya alifufua Elisha alifufua Yesu alifufua Paulo alifufua Petro alifufua. Watumishi wote wamepewa amri sio ombi "Kufufua". Kipindi cha nyuma Askofu Gwajima alijitahidi kuonyesha nia bila matunda dhahiri. Sasa watumishi, walokole, wasabato,wakatoliki,mashehe, watambikaji inakuaje mnakaa...
  12. Background Check

    Zama za zamani zinarudi

    ZAMA ZA ZAMANI Ilifika wakati zama za zamani zikarudi, wala siyo vile vunubi makanisani Bali mtindo wa maisha ya duniani Ule ukweli ukawa uongo na uongo ukawa ukweli Matendo ya mbinguni wakahadithia waumini Wako walioamini lakini hawakusadiki Dunia ya duniani ikakatiza duniani Hapo hata...
  13. Papaa Mobimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  14. Analogia Malenga

    Rais wa zamani wa Madagascar, Didier Ignace Ratsiraka afariki Dunia

    Rais wa zamani wa Madagascar Didier Ignace Ratsiraka amefariki akiwa na umri wa 84, rais wa nchi hiyo alitangaza. "Jumapili tarehe 28 Machi, 2021, rais wa zamani, Admirali Didier Ignace Ratsiraka alifariki akiwa na miaka 84. "Wamadagascar wamempoteza mzalendo," Rais Andry Rajoelina aliandika...
  15. Wang Shu

    Hali ya maisha ya zamani ilisaidia kuwajenga vijana shupavu kuanza kupanga chumba na godoro la futi 3 chini.

    Tujikumbushe changamoto za kutanda.
  16. Faana

    Airtel zamani Zain zamani kabisa Celtel mnatuangusha

    Tangu mchana leo 4.3.21 mteja akituma meseji haziendi kuna shida gani, je mtatufidia vifurushi vyetu tulivyojiunga na muda wake wa ku expire unakaribia?
  17. Kibosho1

    Nitajie kampuni kubwa ya elektroniki ya zamani ambayo haitoki Japan

    Kama kichwa kinavyosema, Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
  18. Infantry Soldier

    Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

    Habari za wakati huu jamiiforums. Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"? Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama...
  19. J

    TANZIA Fred Jim Mdoe mwandishi wa zamani wa BBC afariki dunia

    Fred Jim Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kiharusi. Fred Mdoe enzi za uhai wake RIP Mdoe
  20. M

    Je, hili ndio tatizo vijana wengi wa siku hizi kuwa na vipara ukilinganisha na wa zamani

    Inakuwaje wanajamvi, Yani ukiangalia picha na video za miaka ya tisini kurudi nyuma vijana wengi hadi wa makamu miaka 45+ walikuwa na afro na nywele nyingi. Ngumu sana kukuta vipara. Ila sasa hivi kwaanzia ma teenegers hadi 27 years wengi wana vipara. Tatizo nadhani msongo wa mawazo, vyakula...
Back
Top Bottom