zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Zamani Ikulu ilipelekewa orodha ya graduate wote, siku hizi inapelekewa orodha ya Viongozi wa CCM ngazi ya kata hadi Taifa

    Habari! Siku moja nilikuwa na mzee mmoja mstaafu JWTZ aliniambia kuwa Ikulu hupokea taarifa na majina ya wahitimu wa elimu ya chuo kikuu wale wa degree ya awali nakuendelea. Pia hupokea majina ya baadhi ya wahitimu wa elimu ya stashahada na advanced diploma kila mwaka. Rais kwa kutumia team...
  2. Sky Eclat

    Zamani wash basin ilikua ni karai na jug la maji

  3. Darucha

    Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

    Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
  4. Digital base

    Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  5. Mohamed Said

    Yanga na Simba unazi wa zamani: Kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru

    YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake Kazua alikuwa mkoba, yaani "centre half," wa Dundee United. Leo mimi na sahib yangu Kazua akitutokea...
  6. Mohamed Ismail

    Penzi la zamani

    Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia yakiwa yamejazwa na vionjo vyenye kusisimua nafsi. Acha masikhara yale ndio yalikuwa mapenzi. Hakukua...
  7. beth

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  8. D

    Kabla ya kupunguza gharama za kuingiza umeme kuwa 27000, wangefanya huduma hiyo kuwa ya haraka kwa bei ya zamani

    Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero! Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma! Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
  9. I

    Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa rushwa

    Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa. Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma. Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
  10. S

    BASATA, huu wimbo wenye maneno "dela jipya, chupi la zamani", haudhalilisha wanawake, na kwanini msiupigie marufuku?

    Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public? Binafsi maneno hayo naona yana ukakasi na hivyo nashauri huu wimbo upigwe marufuku na ufanyiwe marekebisho ndio uruhusiwe...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Dunia iko kasi, zamani mnachati kwa meseji na mpenzi wako usiku kucha unasikia hisia mpaka rohoni

    Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana. Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu. Sasa hivi mkichati kidogo tu mnaombana vikojoleo, mkitumiana chatting inakata kwa siku hiyo mnasubiri siku nyingine. Mkichati siku...
  12. Mkogoti

    Isidingo walikuwa wanawalipa ITV?

    Habari, Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu. Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine tofauti na Isidingo kuisha. Pigia Yesu Makofi 👏👏
  13. Miss Zomboko

    Afrika Kusini: Jacob Zuma akana mashtaka ya ufisadi mwanzoni mwa kesi yake

    Jacob Zuma alisema NAPINGA makosa yote 18 ya ulaghai, ufisadi, ulaghai, ukwepaji wa kodi na utakatishaji fedha haramu. Mashtaka hayo yanahusiana na matukio ya zaidi ya miongo miwili - katika siku za mwanzo za demokrasia ya Afrika Kusini - pamoja na mpango mkubwa wa silaha wenye utata. Bwana...
  14. Spector

    Sarafu za zamani

    Habari wadau,, Kwa yoyote mwenye ufahamu na hizi sarafu naomba msaada wa utambuzi ipi dili
  15. Nafaka

    Tumetoka mbali - kuna ngoma za zamani ni kama vile vocal imerekodiwa kwa simu ikadondosjwa juu ya beat

    https://www.reverbnation.com/ngomanagwa/song/14421014-mapacha-5050 Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni beat zao, hata ile tunabang ina beat kali. Sema leo nimeisikiliza nikagundua production hasa...
  16. U

    Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

    Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini. Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
  17. U

    Waziri wa Zamani Wa Ulinzi Wa Burundi Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye Amefariki Leo Akitumikia Kifungo Cha Maisha Jela

    Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza. Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
  18. J

    Alipokufa Sokoine hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini kuna Wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika. Hii tabia ilianza zamani

    Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake. Wakati ule hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini uzushi ule ulisambaa nchi...
  19. Analogia Malenga

    Walter Mondale, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, afariki dunia

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93. Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria...
  20. beth

    Peru: Kashfa ya Chanjo yapelekea Rais wa zamani kupigwa marufuki kushika wadhifa katika ofisi ya umma kwa miaka 10

    Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19 Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
Back
Top Bottom