Mzee Bwege mbunge wa zamani wa CUF, anaumwa na amekatwa mguu kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.
Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti.
Natoa wito kwa wadau wa jf na wengine tumuombee ili apate nafuu haraka
Nigeria inatafuta usaidizi wa Interpol ili kuwakamata washukiwa Watatu wanaodaiwa kuiba Dola 6.2m (Tsh. Bilioni 15.1) kutoka Benki Kuu ya Nigeria kwa kutumia sahihi ya kughushi ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Muhammadu Buhari.
Mamlaka zinaamini washukiwa walikula njama na aliyekuwa Mkuu wa...
Habari wana-JF kwa ujumla, elimu ndio kila kitu kwa ustawi wa nchi na kwa maendeleo ya mtu binafsi, kuna kijana mmoja la chuga alikuwa akilazimishwa na wazazi wake asome.
Yeye kwa akili ya ujinga akaona kama vile wanamuonea. Sasa amekuwa mtu wa kujitegemea, wazazi wamekuwa wazee, shule alifeli...
Kila zama na nabii wake,walikuwepo wakina adamu,nuh na akina ibrahimu wote walikuja wakati ambao dunia haimtambui mungu na ujio wao ulikuwa ni wenye lengo la kutambulika kwa nguvu kuu yenye mamlaka dhidi ya nguvu zote,katika zama hizi habari zilikuwa hazina ukubwa kiasi cha kusambaa kila eneo...
Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali.
Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
Tanganyika tangu mkoloni wa kijerumani mpaka Mkoloni wa Kiingereza elimu yetu ilikuwa bora sana, watu wengi ikiwamo wazungu walikuja kusoma Tanganyika kwenye shule za St.John, St Thomas, St Jude, [Ilboru,Old Moshi, Moshi Technical, Pugu, Minaki, Ifunda] hizi zote ni shule za Wakristo kwakuwa...
Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake.
Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi…
Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako.
Warning!!
zingatia...
Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa udanganyifu wa nyaraka za usafirishaji na kusababisha upotevu wa mapato kwa Serikali ya Uganda...
Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa vipenyo pale Singida.
Simba wao wanahisi Singida utd na Yanga ni ndugu basi kutambua hilo...
Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi 2016.
Kwa mujibu wa 'TRIAL International', Waziri huyo anakuwa Afisa wa ngazi ya juu zaidi kutoka...
Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi.
Novemba mwaka jana, watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na magereza kadhaa huko Freetown, na kuwaachilia karibu wafungwa 2,000.
Amekana kuhusika na shambulio hilo...
Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi.
Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,
Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.
Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami...
Hivi unajua usipompa
pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi?
Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili.
Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.