Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola.
=====
African Union now a permanent G20 member
The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday.
There was...
Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika.
Esther ambaye yuko kizuizini Jijini Lusaka, amekamatwa pamoja na watu wengine watatu wakiwa pia wanatuhumiwa kumiliki...
MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA
Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023.
Wakulima hao wamesema...
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (BoZ) aliyethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo, amewataka Wananchi kutojibu ujumbe wowote utakaotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo hadi hapo Umma utakapoarifiwa kurejeshwa kwake.
BoZ imesema "Tunasikitika kuufahamisha umma kuhusu tukio la...
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Serikali ya Zambia Mhe. Frank Tayali ameipongeza Serikali ya Tanzania na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania-TPA kwa maboresho makubwa ya kimiundombinu yanayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam.
Akizungumza wakati akifungua Kongamano la...
Zambia wana upungufu wa Chakula na kwa sasa hawaruhusu Nafaka kutoka nje ya mipaka ya nchi yao hii ni ili kulianda Walaji wa ndani, kwa hio ni kwamba Mahindi ya Wakulima wa Zambia ni ya Umma?
Linapo kuja swala la Usalama wa Chakula hakuna cha hii ni mali private wala nini, huwa kinacho angaliwa...
Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani. Makada wengi wa kilichokuwa chama tawala, Patriotic Front (PF), walijikuta wakikusanyika kwenye makazi...
Zambia na Tanzania ni nchi mbili majirani.
Tanzania tukiwa kwenye rojo la CAG na ubadhirifu mkubwa, hali hizi:
ni sehemu ya maisha.
Kama vile haitoshi, huku kazi inaendelea:
Zambia ni hawa hapa:
Kwa nini wanaokenua kwetu kama si mananihii kabisa, wasipimwe japo mkojo?
Tujitafakari...
Rais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi.
Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni...
Pichani ni wananchi kwenye miji mbalimbali nchini Zambia wakiwa kwenye foleni za kununua unga wa mahindi. Kwa sasa Zambia inakabiliana na uhaba mkubwa wa unga wa mahindi maarufu kwa jina la MEALIE MEAL.
Inadaiwa kuwa uhaba huo umetokana na Serikali kuruhusu uuzwaji holela nje ya nchi wa mahindi...
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.
Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.
Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.
Na sasa askaro...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ana nia ya kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo imesababisha msako wa nyumba hiyo kuanza, gazeti la Times la Uingereza linaripoti.
Bi Harris, ambaye yuko katika ziara ya siku tisa katika nchi tatu za Afrika...
Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake.
Ukipitia twakimu kwa miaka...
Dr. Livingstone huyu ni mmoja wa wamissionary waliotumwa na kampuny la IBEACO kuja kueneza dini barani Africa, na yeye alifika na kueneza dini eneo la Africa mashariki yaani Kenya, Tanzania na Uganda
Mmisionary huyu sehemu ya kwanza aliyoikanyaga baada ya kutua Tanzania ni Bagamoyo mkoani...
United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March.
The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April.
This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
Zambia mpaka sasa ukifika kuna mabango ya kichina na taratibu za China.
=======
Zambian President Hakainde Hichilema. His government owes $17 billion in external debt, with about $6 billion owed to China.
External debt
The Zambian government owes $17 billion in external debt, with about $6...
Askari Polisi wamepewa ruhusa ya kuwakamata wote ambao watakataa kutekeleza sheria hiyo ambayo inazuia matumizi ya simu au uvaaji wa spika ndogo za muziki ‘headphone’ wakati wa kuvuka barabara
Ambaye atakiuka faini yake itaanzia Kwacha 1,000 ambayo ni sawa na Dola 16. Sheria inawataka watembea...
Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi.
Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
“Baada ya umeme kurudi, niliingia ndani kumtafuta mume wangu lakini sikumpata. Niliendelea na upekuzi kisha nikamuona akiwa amelala nje kwenye bustani. Nilipotoka nje kupeleleza kulikoni, nikagundua mume wangu alikuwa hatikisiki baada ya kuumwa na mbwa wetu watatu."
Kiungo wa zamani wa timu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.