Amesikika Mwigulu kila anapotusokomeza tozo akijimwambafy. Kama hatutaki tuhamie Burundi.
Kwanini siyo Zambia ambako utawala wa haki kwa sasa ndiyo kwao?
Kwanini kutuchulia hivi huyu ndugu?
Kwa kutuona je haswa?
Rais wa Zambia [emoji1268] mheshimiwa Hakainde Hichilema alienda Juzi Congo kwenye mkutano wa SADC, Jana walipomaliza tu mkutano akakwea pipa akasepa. Hana tamaa za kutaka kukaa mda mrefu kwenye ma.Nchi ya watu anajua kwake Kuna majukumu mengi yakulijenga Taifa.
Hongera sana mwanademokrasia...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.
Hichilema amehoji “Kwanini...
Former Mufulira Member of Parliament EVANS CHIBANDA says the revamping of the Tanzania-Zambia Railways -TAZARA- will bring about economic growth for Zambia.
Dr. CHIBANDA further says actualising the agreements to expand the TAZAMA Pipeline following change in objectives from transportation of...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais Hichilema amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku moja.
Ziara hiyo inakusudia kuimarisha zaidi mahusiano mazuri...
Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amehojiwa na Wakala wa Kupambana na Utakatishaji Fedha wa Zambia kuhusu umiliki wake wa nyumba za kisasa zilizopo katika Mji wa Lusaka.
Nyumba hizo 15 ziliweka chini ya uangalizi maalum mwezi huu zikidaiwa kuwa zilipatikana kwa...
Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu,
Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa,
RC Kafulila anasema...
Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia.
Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
Barbra Banda ameondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) baada ya kufeli vipimo vya “kustahiki jinsia” kutokana na kiwango chake cha homoni za testosteroni kuwa juu kupita kiasi
Wachezaji wa kike wanapaswa kuwa na kiwango kidogo cha homoni ya testosteroni...
Hafla ya kukabidhi Kituo cha Kimataifa cha Mikutano kilichojengwa kwa ufadhili wa China imefanyika jana katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka..
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amesema, tangu Zambia ipate uhuru, China imetoa misaada mingi katika juhudi za kuhimiza...
Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma fuso au tandam, Godamn it
Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu...
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.
Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.
Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza:
Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli.
"Kwetu ni self service."
Nani anasema tatizo letu si katiba?
Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
Waziri wa zamani wa Zambia ameingia matatani kwa ufisadi. Karibuni kanunua helicopter ya $700,000.
Kwa mapato yapi huko serikalini?
Alikuwa na mahoteli na mali lukuki.
Hawa ndiyo wale wazalendo sasa kama wetu, ambako huko kuna siri zisizopaswa wenye nchi kuzijua.
Kwani hapa kwetu ni tofauti...
Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza Kuitwa labda kidogo atakayebahatika Kuitwa ni Beki wa Simba SC, Henock Inonga Baka kwakuwa ana Akili...
Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo.
Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi 11, 2022 baada ya kuumwa kwa muda mrefu.
Banda, raia wa nne wa Zambia alikuwa madarakani mwaka 2008...
TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia.
Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.