Ndio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera yetu ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi kuweka tofauti zetu pembeni. Dua na Sala Zote Kwa Simba Sports Club ifuzu Hatua ya Makundi...huwezi Jua huko mbele Tunaweza Ku Retain Zile Nafasi zetu 4 CAF!
Hivyo Taifa Letu...
Habari Wakuu. Kuna mzigo uko bandari ya Dar nahitaji usafiri wa kupeleka Lusaka, Zambia. Ni kiasi cha Tani 900. Nahitaji malori yenye uwezo wa kubeba Tani 30. Bajeti ni Sh 150,000 kwa Tani. Naomba msaada kwa mwenye connection.
Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.
Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma.
Rais Samia Suluhu wa Tanzania pamoja na kuwa na ndege mpya 11 zikiwemo zenye uwezo wa kuruka moja kwa moja kwa zaidi ya masaa...
Amani na utulivu,
Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.
Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa...
Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:
Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁.
Si mnakubalika? Si...
Picha: Mwila Musonda (Slapdee)
Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front.
Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi
Iko hivi
Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani.
Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
30 September 2021
Kasumbalesa
Mpakani mwa DR Congo na Zambia
na Nakonde Zambia
Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya...
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheshimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii...
Habari wakuu?
Nimepata safari ya kwenda Zambia kuna shughuli halali naenda kuifanya huko ktk kujitafutia kipato.
Swali:
1. Je, ni nyaraka gani muhimu niwe nazo na ninazipata wapi?
2. Zitanigharimu kiasi gani kuzipata hizo nyaraka?
Asanteni sana.....
Jameni Wazambia ni balaa, malori yote 200 wamekamata na hawajali liwalo na liwe.....
The government said yesterday that it was not aware of reports that over 200 trucks owned by Tanzanian operators had been seized in Zambia linked to illegal logging claims.
“We haven’t received any...
Njia ya Mungu ni fumbo
RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
Amesema kwa mazingira magumu ya utawala wa kikandamizaji wa Lungu, quite oppressive regime but he tried very hard to act professionally, alimshangaa sana kwa vipi "this young man" was able to act deligently katika mazingira magumu kama yale.
Alijitahidi kufanya kazi zake kwa misingi ya haki...
Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba alishindwa kumaliza kiapo baada ya mtetemo kuzidi wakati akiapa.
Rais Hakainde Hichilema alitoa...
Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.
Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.
Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.