Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe .
Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema
Mwaka 2017 Kiongozi wa upinzani nchini Zambia (UPND) Hakainde Hichilema na wafuasi wake watano waliwahi kushitakiwa kwa makosa ya ugaidi kufuatia madai kuwa msafara wao ulizuia msafara wa rais Edgar Lungu, na hivyo kuyaweka maisha ya rais hatarini. Baadaye mastaka hayo yaligeuzwa kuwa ya Uhaini...
Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu...
Usiku wa leo mda wa saa 0200, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo amtangaza Mpinzani wa Chama cha UNDP kuwa Rais wa nchi baada ya kushinda Kwa kura 2.8m akimuacha Rais Edga Lungu wa PF kwa kura kama 1M. VivA Zambia!
======
Hichilema is popularly referred to by his initials 'HH' or...
Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
CHADEMA haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe...
Hii ni baada ya Taarifa kuanza kuzagaa nchini humo kwamba Rais huyo anayemaliza muda wake kutoka chama cha Patriotic Front ameangukia pua .
Edgar Lungu Rais aliyejipa utukufu wa kimungu kwa kupenda kuabudiwa kama walivyo Marais wengi duni wa Nchi za kiafrika, anayesifika kwa kuleta umasikini...
Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu.
Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo.
Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka...
Wanasema ukisikia mwenzanko kanyolewa na wewe weka maji kichwa chako upate kunyolewa.
Hali si nzuri huko kuanzia boda yetu na Zambia.
Nasikia wachina washaanza kufunga virago wengine sijui walijiona wananchi wachinazambia.
Tujuzane huko kinachoendelea.
Ni wazi mgombea wa upinzani nchini Zambia atatangazwa mshindi.
My concern is: Historia inatukumbusha kuwa Hichilema aliwekwa ndani na Lungu kwa kumpa kesi ya kumbambikia ya Uhaini. Mahakama ikamweka huru.
Kwa akili za Waafrika tulivyolaaniwa, huyu mteule Hichilema atafanya hayo hayo kwa...
Mahesabu yanaonyesha anaendelea kushindwa na ameanza kulalamika........
======
Zambian President Edgar Lungu has declared the August 12 presidential and parliamentary election “not free and fair”, citing incidents of political violence in three provinces.
According to partial results...
Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa Rais wa Zambia Edgar Lungu. Lungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanja mbuga kumnyang'anya Ikulu.
Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani...
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!
Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.
Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF.
Africa tuna kazi sana kwa kweli
Matokeo ya Awali yaliyotangazwa na Tume inayosimamia Uchaguzi Nchini humo mapema leo yameonesha Mpinzani Hakainde Hichilema anaongoza kwa Kura
Amepata Kura 171,604 huku Edgar Lungu anayetetea nafasi ya Urais akipata Kura 110,178. Matokeo hayo yanajumuisha Majimbo 15 kati ya 156 yaliyopo Nchini...
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea Nchini humo ambapo Tume ya Uchaguzi imesema matokeo kamili yatatangazwa baada ya saa 72 tangu zoezi la upigaji kura kumalizika.
Mamilioni ya Wazambia wengi wakiwa Vijana walijitokeza kupiga kura, hali iliyolazimu baadhi ya Vituo kubaki wazi hata baada ya muda...
The 21-year-old, who idolises Cristiano Ronaldo, has already written her name into the record books at Tokyo 2020
Barbra Banda has played two matches at an Olympic Games – and she is already in the record books.
She is the first woman to score two hat-tricks in one women’s football tournament...
Kwa mujibu wa VOA Swahili, Watanzania wa mipakani wameanza kuvuka mipaka na kwenda Zambia kununua mafuta (Petrol/Diesel)
Kumbuka hayo mafuta yamepita kwenye bandari yenu na kusafirishwa mpaka Zambia na matozo kibao.
Pesa ya kununua lita moja Tanzania ukienda Zambia unapata lita moja na nusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.