Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika nyadhifa zao na kulinda maslahi yao.
Hii inatokana na somo walilolipata kutoka kwa Rais mpya wa Zambia Mh...
Swali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na...
Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani.
Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba.
Naomba kuwasilisha
Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
Habari Ya Machweo Wakuu.
Kwenye sherehe nyingi za uapisho wa Rais kwa nchi za Kiafrika vyama pinzani toka nchi mbalimbali huwa ni nadra kualikwa.
Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema amevunja mwiko kwa kuvialika vyama pinzani toka nchi mbalimbali za Afrika kuhudhuria uapisho wake!
Nchi...
Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye ndege kwenda Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais halali aliyetoka na Upinzani, ninyi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2021 akitokea Nchini Zambia alikohudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema
Hakainde Hichilema ameapishwa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe ambayo imehudhuriwa ya maelfu ya watu Jijini Lusaka.
Anakuwa Rais wa 7 kuongoza Taifa hilo baada ya kumshinda Edgar Lungu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 12, 2021 Uapisho wake umehudhuriwa na Marais wa Nchi mbalimbali...
Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wake kuliko waalikwa wenyewe.
Ni aibu kwa...
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki...
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.
Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
Nchi ya Zambia ilimpata Rais wake wa kwanza mwaka 1968 mzee Kaunda akitokea chama cha UNIP, na baadae wakafuata marais wengine kama 7.
Fredrick Chiluba
Levy Mwanawasa
Rupia Banda
Michael Sata
Guy Scott
Ediger Lungu na
Hakainde Hichelema
Zambia tayari inakuwa imebadirisha pia vyama tawala zaidi...
Mchungaji wa kanisa la Zion amekufa baada ya kuzikwa hai
---
Mchungaji wa kanisa la Zion nchini Zambia James Sakara, aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike akiwa hai kwa madai ya kwamba baada ya siku tatu angefufuka kama Yesu, amekutwa akiwa amefariki dunia...
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.
Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano.
Kitendo cha...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka.
Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa
"Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia.
HII IMEKAAJE SASA
Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel mbalimbali za mitandao na Tv za ndani ya Afrika na nje ya Afrika kwa lengo la kujua kulikoni chama tawala...
Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.