Habari,
Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia.
Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam.
Mawasiliano please PM me your phone number.
Ahsante.
Naomba nianze kwa kutoa historia fupi ya kiwanda hiki cha kusafisha mafuta Zambia. Alafu mwishoni watu mtatoa maoni kwanini viongozi wa nchi hii hawakuua kiwanda hicho na kwanini chetu kilikufa.
The Indeni Petroleum Refinery is an oil refinery in Zambia's industrial city of Ndola.
The...
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda.
Hapo awali nilishuhudia mkutano kati ya Bwana huyu na Balozi wa Marekani, ukiachilia mambo...
Zambia ambayo inakabiliwa na wimbi la tatu la Virusi vya Corona imesema maeneo ya starehe ikiwemo baa na casino zitafungwa kwa siku 14, ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Ugonjwa huo.
Wiki iliyopita, Shule zilifungwa kwa siku 21 ili kuruhusu Tawala kuchukua tahadhari za kuhakikisha usalama...
Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao.
Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
Pamoja na video hiyo...
Salaam Wakuu,
Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia.
Sheria hiyo inataka Mizigo yote inayoingia Zambia, 50% ibebwe na Wazambia Wazawa, 30% ibebwe na TAZARA na 20% ibebwe na...
Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi
Waziri wa Afya, Dkt. Kennedy Malama amesema vifo 407 vimeripotiwa ndani ya wiki tatu za wimbi hilo. Jumla ya...
Tanzania President Her Excellency Samia Suluhu Hassan has on behalf of government sent condolences to the People of Zambia for the death of their Father of the Nation Dr. Kenneth Kaunda who passed away yesterday June 17, 2021 in Lusaka.
In her condolences President Samia has said Africa has...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wanafamilia na Rais wa Zambia Edgar Lungu, kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Kenneth Kaunda, kilichotokea jana Juni 17, 2021.
Kaunda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...
Sunday, June 13, 2021
Zambia President Edgar Lungu collapsed in the capital, Lusaka, during a national defence day event on Sunday, local media reported.
Shortly after, Secretary to the Cabinet, Dr Simon Miti, issued a statement to reporters and the State TV, assuring the local public and...
Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia.
===
#ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife Mercy Mukuka Chama. Our thoughts and prayers are with Chama and Mukuka's family.
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953
Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97.
Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake.
Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta hifadhi ya kibiashara nchini humo baada ya kukimbia manyanyaso nchini mwao.
Bavicha imeongea na...
Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960.
Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru...
Wadau naomba m-share experience yenu ambao mm bahatika kufika na kuishi katika nchi hizi mbili Rwanda / Zambia
Napenda kufahamu mfumo wao wa maisha, mazingira ya kufanya biashara, social interaction na wageni ipoje.
Karibuni wapendwa.
Jamani sven kasema lini kwenye interview haya maneno? Nimeamini utopolo wako vizuri kwenye propaganda ila uongozi wa sasa kama mazezeta hivi ..Chukueni hatua kwa huyu blogger haraka sana
First ilkuw a page ya kikenya inaitwa african sports today wao walisema tu remarks zake hazikuupendeza...
Mbunge mmoja wa Zambia amelinganisha usambazi wa mipira ya kondomu nchini humo na glavu kutokana na bidhaa hizo mbili kushindwa kuafikia viwango vya usalama na ‘mauaji ya kimbari’.
‘’Kile ambacho wizara ya afya inakifanya ni mauaji ya kimbari'' mbunge Mwansa Mbulakulima aliambia BBC.
Unapoweka...
Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia.
Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8
Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.